RFI Kiswahili

RFI Kiswahili

367.5K subscribers

Verified Channel
RFI Kiswahili
RFI Kiswahili
June 19, 2025 at 03:32 AM
https://youtu.be/7dlwWN6oj7E Kwenye Makala ya jua haki zako tunajikiita kuangazia hali ya haki ya wanawake mashariki mwa DRC🇨🇩 baada waasi wa M23 kufaulu kudhibiti miji ya Goma na Bukavu. Tunazungumza naye wakili Maggie Mkulima Shukru kutoka Bukavu kutueleza hali ilivyo mashariki mwa DRC.
❤️ 😢 🙏 3

Comments