RFI Kiswahili
June 19, 2025 at 04:47 AM
https://youtu.be/WwW-mc-qHj8 Je unajua kuwa kila siku mwili wako huwasiliana kwa njia moja au nyingine?
Iwapo utazingatia kuskiliza mwili wako unaweza kujiepushia madhara mengi ya kiafya.
Katika makala haya tunakufahamisha kuhusu namna ya kutafsiri utendakazi wa mwili wako.
Kwa mfano unapokosa kulala ,ukikosa hamu ya chakula ,huna furaha au una majibu kwenye uso wako. Hizi zinaweza kuwa dalili za matatizo ya akili au viungo muhimu katika mwili wako.
❤️
😮
3