RFI Kiswahili
June 19, 2025 at 07:07 AM
https://youtu.be/QdJX4wZ_inU Wataalamu wa Kongo🇨🇩 na Rwanda🇷🇼 wamekutana mjini Washington siku ya Jumatano, Juni 18, 2025, na kuwasilisha hati ya maandalizi ya makubaliano ya amani chini ya mwamvuli wa Marekani.
Hatua hii muhimu sasa lazima ithibitishwe na Mawaziri wa Mambo ya nje wa nchi zote mbili. Saini yao inatarajiwa Juni 27, kabla ya uwezekano wa mkutano wa kilele mwezi Julai, utaohudhuriwa na Rais wa Marekani🇺🇸 Donald Trump.
🎥Reuters- Maktaba
🙏
❤️
👍
5