
RFI Kiswahili
June 19, 2025 at 07:18 AM
https://youtu.be/Njg4mpyr5uA Israel imetekeleza mashambulio dhidi ya makao makuu ya usalama nchini Iran, Iran pia ikiendelea kurusha makombora yake kuelekea Tel Aviv.
Kiongozi wa kidini wa Iran, Ali Khamenei, naye ameonya Marekani dhidi ya jaribio lolote kushambulia Iran, litajibiwa vikali.
Yakijiri hayo Rais wa Marekani, Donald Trump, ameidhinisha taifa lake kushumbulia Iran lakini haijulikani lini, vyombo kadhaa ya habari vya Marekani vimeripoti.
Video: Reuters
🙏
😮
❤️
😂
😢
11