RFI Kiswahili

RFI Kiswahili

367.5K subscribers

Verified Channel
RFI Kiswahili
RFI Kiswahili
June 19, 2025 at 01:20 PM
Katika barua iliyotolewa na chama chake, mamlaka ya Uingereza iilirejelea uungwaji wake mkono wazi kwa kundi la Hamas, ikiwemo hotuba aliyotoa baada ya mashambulizi ya tarehe 7 Oktoba ambapo alisema chama chake kingeipatia Hamas silaha iwapo kingeingia madarakani. Aidha, serikali ya Uingereza ilisema Malema amenukuliwa akitoa matamshi yanayodokeza au kutamka moja kwa moja kuhusu "kuwachinja watu weupe nchini Afrika Kusini", jambo ambalo pia lilizingatiwa katika uamuzi wa kumzuia kuingia nchini humo.
Image from RFI Kiswahili: Katika barua iliyotolewa na chama chake, mamlaka ya Uingereza iilireje...
👍 😂 🙏 5

Comments