RFI Kiswahili

RFI Kiswahili

367.5K subscribers

Verified Channel
RFI Kiswahili
RFI Kiswahili
June 19, 2025 at 01:38 PM
Akizungumza kutoka katika hospitali iliyoharibiwa kusini mwa nchi hiyo,Netanyahu amepongeza ushirikiano wa karibu kati ya Israel na Marekani chini ya uongozi wa Donald Trump, akisisitiza kuwa Marekani tayari inatoa msaada mkubwa katika mzozo unaoendelea, huku akieleza kuwa Trump amechukua msimamo thabiti kuhusu kuizuia Iran kumiliki silaha za nyuklia.
Image from RFI Kiswahili: Akizungumza kutoka katika hospitali iliyoharibiwa kusini mwa nchi hiyo...
😂 ❤️ 😢 😮 🙏 10

Comments