RFI Kiswahili

RFI Kiswahili

367.5K subscribers

Verified Channel
RFI Kiswahili
RFI Kiswahili
June 20, 2025 at 08:46 AM
https://youtu.be/3QDjDHNwJyk Mtu mmoja amefariki dunia na wengine wasiopungua 14 kujeruhiwa baada ya ndege zisizo na Rubani za Urusi kushambulia jiji la Odesa, lililoko pwani ya Bahari Nyeusi nchini Ukraine, usiku wa kuamkia Ijumaa, kwa mujibu wa mamlaka za eneo hilo na waendesha mashtaka
❤️ 😢 🙏 3

Comments