RFI Kiswahili

RFI Kiswahili

367.5K subscribers

Verified Channel
RFI Kiswahili
RFI Kiswahili
June 20, 2025 at 02:11 PM
https://rfi.my/Bm9T.w Wakati ulimwengu unaadhimisha siku ya wakimbizi, Shirika la Umoja wa Mataifa linalowashughulikia wakimbizi linasema, zaidi ya raia wa Kongo🇨🇩 milioni 1 ni wakimbizi katika nchi mbalimbali kutokana na migogoro mbalimbali ya kivita inayoendelea nchini humo.

Comments