
RFI Kiswahili
June 20, 2025 at 02:12 PM
https://rfi.my/Bm9n.w Jijini Tehran,Iran 🇮🇷 maelfu ya wananchi wa Iran wameandamana baada ya swala ya Ijumaa, na katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo yakiwemo ya Tabriz na Shiraz, kuilaani Israeli🇮🇱 na kusikika wakiwasifia viongozi wao akiwemo kiongozi wa kiroho Ayatollah Ali Khamenei.