
Chama Imara Na Samia
June 13, 2025 at 09:53 PM
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Usimamizi wa Rais Samia Suluhu Hassan imetekeleza Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi 2020-2025 katika miradi mbalimbali.
#safariyaushindi2025