
Chama Imara Na Samia
June 17, 2025 at 12:16 PM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametembelea majeruhi wa ajali ya gari waliolazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Meatu, mkoani Simiyu, leo tarehe 17 Juni, 2025.