
Nukta Habari
June 14, 2025 at 02:58 PM
Serikali ya Tanzania imepanga kukuza na kulinda viwanda vya ndani baada ya kupendekeza maboresho mengi ya kodi, tozo na ushuru wa forodha wa bidhaa katika bajeti ya mwaka 2025/26.
Hatua hizo ni mwendelezo wa Serikali kukuza sekta ya viwanda ambayo ni moja ya vichocheo vikubwa vya ukuaji wa uchumi kwa kutoa ajira na kuzalisha bidhaa zinazopunguza matumizi ya bidhaa kutoka nje ya nchi.
https://nukta.co.tz/namna-tanzania-inavyotaka-kulinda-viwanda-vya-ndani-bajeti-2025-26