Elimu Ya Afya
Elimu Ya Afya
June 5, 2025 at 08:48 AM
Ujumbe kwa jamii kuelekea Siku ya Mchangia Damu Duniani 14 Juni 2025. Maadhimisho ya mwaka huu yanaambatana na kampeni ya kitaifa ya uchangiaji damu kwa hiari inayoendelea kuanzia tarehe 1 hadi 14 Juni 2025 kote nchini. Kaulimbiu ya mwaka huu inasema: “Changia Damu, Leta Matumaini; Pamoja Tunaokoa Maisha”. Chupa moja ya damu inaweza kuokoa maisha ya watu hadi watatu. Ungana nasi, changia damu, okoa maisha

Comments