
MAJIVU YA FASIHI 📖🪶
June 13, 2025 at 05:44 AM
Hayawi hayawi,
Sasa yamekuwa!
Baada ya kusubiri kwa muda mrefu, sasa rasmi nakala ya riwaya yetu ya *SHAMBA LA HELA* iko sokoni.
Ni kitabu kilichosheheni taharuki, mapigano na nukta kadhaa za upelelezi na hekaheka ndani ya kurasa zaidi ya 350.
Ni kisa cha kusisimua kilichosukwa na kalamu ya yuleyule fanani wenu, GODLOVE KABATI.
Inapatikana katika mfumo wa nakala laini kwa bei ya Tsh. 2000/= tu.
Nambari ya malipo: 0678204350 (MIXX BY YAS)
Jina, GODLOVE KABATI SELESTINE
Ukilipia tu, niarifu.
Nami sitosita kukutumia kazi hii bora ya fasihi 🙏.
Kwa maelekezo zaidi, wasiliana nami kwa njia ya WhatsApp kupitia 0763204351.
*`FASIHI NDIO ZETU`* 📚📚

❤
❤️
👍
😮
4