
MEFTAHUL 'ULUUM 📚🔑📚
June 15, 2025 at 10:15 AM
🔸️ *TAFAKARI NA HILI* 🔸️
____________________
Amesema Al imamu Ibnul Qayyim _rahimahu llaahu:_
_*"Vipi anakuwa ni mwenye akili yule mwenye kuiuza pepo kwa (kufanya) kile ambacho ndani yake kuna matamanio ya saa (muda tu mfupi)??*"_
▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎¤▪︎¤¤▪︎¤▪︎¤▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎
📚 Al fawaaid - (1/60)
