
MEFTAHUL 'ULUUM 📚🔑📚
June 15, 2025 at 10:28 AM
👉 *JITIBIE NA HILI*👇
__________
Amesema 'Abdu llaahi bnu 'Awn _rahimahu llaahu:_
_*"KUWATAJA WATU NI UGONJWA NA KUMTAJA ALLAAH NI DAWA"*_
_________
📚 Siyaru A'alaami al Nubalai - (6/369)
●NENO:
Maana ya maneno hayo ni kuwa - sisi tumeshaugua na gonjwa hili la kuwasema watu hivyo tujitibie kwa kukithirisha kumtaja Allaah - wala hakuna tija ya kuwataja watu bali tija na utukufu na tiba ipo katika kumtaja Allaah kwa wingi.
Baaraka llaahu fiikum
