MEFTAHUL 'ULUUM 📚🔑📚
MEFTAHUL 'ULUUM 📚🔑📚
June 15, 2025 at 10:48 AM
🔉 *ZINDUKA NA HILI* 📢 ***************** Amesema Hatimul Aswamm _rahimahu llaahu:_ *"Mambo manne hawayajui thamani yake isipokuwa watu wa sampuli nne:* 1.Thamani ya vijana/ujana hakuna anayeijua isipokuwa wazee. 2.Thamani ya afya hakuna aijuaye isipokuwa waliopatwa na mabalaa/maafa. 3.Thamani ya siha hakuna aijuaye isipokuwa wagonjwa. 4.Thamani ya uhai haukuna anayeijua isipokuwa maiti (waliokufa). •••••••••••• 📚 *Tanbiihul Ghaafiliina - [1/39]*
Image from MEFTAHUL 'ULUUM 📚🔑📚: 🔉 *ZINDUKA NA HILI* 📢          ***************** Amesema Hatimul Asw...

Comments