
MEFTAHUL 'ULUUM 📚🔑📚
June 17, 2025 at 03:11 PM
🔸️📢🔸️
Darsa ya tafsiir ya Qur-an
Hii ni ya wate - katika masomo yetu ya on-line
Karibuni - leo tunamalizia maelezo ya suuratu al Naazi'at kipande cha mwisho.
Muda ni saa mbili na nusu.
Tutawatumia link in shaa Allaah
Baaraka llaahu fiikum