
MEFTAHUL 'ULUUM 📚🔑📚
June 18, 2025 at 04:55 PM
📜 *HADITHI:*
Amesema Mtume _swalla llaahu 'alayhi wasallama:_
*"Yeyote atakayefikia sehemu (ya makazi) akasema: _A'uudhu bikalimaati llaahi al taammati min sharri maa khalaqa_ hakuna chochote kitakachomdhuru mpaka atakapoondoka kwenye makazi yake hayo"*
_____________
📚 Swahihu Muslim - 2708]