CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
May 31, 2025 at 08:38 AM
❤️ SECRETS ❤️ Season 4🔥 Episode 34&35 Nilifreeze hadi phone ikatoka kwa mkono ikaanguka kidogo nilime dinga kwa ukuta💔 Stesh : Beb what's going on💔 Me : Nimeambiwa if i leave this town I'm a dead man💔..beb kuweka siri za watu ndo imetuletea hii shida yote.. secrets baby.. secrets💔 Mike akacall nikakataa kupick. Akacall tena Stesh akareceive Stesh : Wewe.. just leave us alone Mike : Hahaa😂..madam hio kelele yako itakuletea shida.. just take care of the baby we'll come for it but kwanza pea huyo mtu simu Me : Leave me alone man.. Cliff told me everything Mike : Yeah we know that..now that you know a lot.. you know everything.. everything.. why don't i just kill you?😂.. you can't run away from us Carl rudi kwa job so that we can talk about this you know Stesh akachukua phone akaweka kando. Nikadrive Stesh : Beb let's go I'm with you in this kama ni kukufa nakufa na wewe😭 Me : Don't worry baby Stesh : Tunaenda wapi Me : I'm taking you home huko utakua safe Stesh : But si utakua unahatarisha life ya family yako pia? Me : Zii we'll just tell them ball inakusumbua nataka ukae huko for sometimes then mimi nitaingia missing in action for sometimes before i resurface again Phone ikaring kuangalia ni Sandy nikasema at least manze hadi nikasema sasa hapa I'll tell her to protect me against Mike na kina Ras na hao wasee wote. Akakata call tena. Mi nikaendelea kudrive. Tamara akacall 📱 Tamara : Hello Carl uko kwa kazi Me : Yeah niko huko Tamara : Kazi iko aje Me : Iko poa kabisa Tamara : Next weekend kutakua na Manager's conference don't miss out😂 Me : Siwezi kosa😂 Tamara : Any challenge as a manager😂 Me : Kukuja job mapema na kutoka wa mwisho😂 Tamara : Hio ni kawaida usijali😂 Nikaendelea kudrive. Kiasi Sandy akacall 📱 tena. Hapa manze asiponiwekea ulinzi I'm finished😂💔 Me : Hello mum thanks for calling I really need your help Sandy : Mmh🙂.. since Steve wants a reason to k°ill his father?..why don't you tell him that Simon has been slee°ping with Tresh so that he can k°ill his father abaki na mali yote? Episode 35🦋 Nilitetemeka hadi nikapack dinga kwanza💔. Sandy ametoa wapi hio information💔 Me : Mum what are you talking about Sandy : Don't mum me Carl..unaona shida umeleta? Me : Shida mimi nimeleta ama hao?. Sandy : You had a chance of stopping this lakini wewe ulikua unakula tu pesa za Simon unakula kabisa unaskia poa sasa sahi just do what has to be done😳 Me : Mum? Listen to me can we talk about this Sandy : It's too late Carl.. Steve ameshoot babake💔.. you knew about this but you didn't bother to tell me or Steve..sahi Tresh ametoroka na wewe ndo utabeba hio msalaba.. Steve is looking for you..i trusted you Carl.. nilikua nimebank kwako vibaya sana.. i used to pay you ukue ukiniambia anything that was going on Me : Mum ningekushow Simon angenimaliza ju unge react na hasira Sandy : I hate you Carl Nikataka call tukarudi kwa dinga. Stesh : Beb zima simu no one will look for you Nikazima phone tukaishia. Tukafika home. Mum ndo alikua Mum : Alaa surprise visit na vile nataka kutoka😂..mngechelewa kidogo mngepata nilitoka Me : Wueh mum.. Stesh amezidiwa si unajua she's pregnant nimesema akuje akae huku akipoa ndo atakuja Mum : Aah hata umefanya vizuri hua naboeka sana😂..ni sawa my son let my daughter in-law stay with me Tukarudi kwa dinga na Stesh Me : Beb toa simcard zako zote kwa phone.. I'm going to change my simcards I'll call you after one week..if i don't call just report to any police station and tell my parents Stesh : Huwezi kufa Carl..beb you can't die😭💔 Me : It's okay baby..kwa hizo 500k nachukua 200 k ubaki na the rest ikusaidie Stesh : Okey honey 😢😢 Tukahug pale nikatoka na dinga yake. Nikatoa simcards kwa phone. Nikaishia mbali kabisa more than 500 miles kwa town flani ndogo nikarent Airbnb nikabuy ngepa nikaanza kuroll na kofia TO BE CONTINUED 🦋

Comments