CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊 WhatsApp Channel

CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊

65 subscribers

About CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊

MEMES🌊 STORIES 👻🤡 FUN😅 Best Channel for Young Generations

Similar Channels

Swipe to see more

Posts

CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
5/31/2025, 8:38:34 AM

🔥 SECRETS 🔥 (Extended) Chapter 05&06🔥 Stesh : Then beb look for something ukue unafanya hautakua unakaa tu hivi.. hazel is growing na soon tutakua na wengine we need to be financially stable Me : Blake anasema your dad anampea capital we are going to start a business Stesh : Wewe jiweke kwa Blake utashangaa Time ya supper pale kwa meza food ikaletwa tukajipin pole pole Stesh : Laura Laura : Yes Stesh : Come eat with us hapa hakuna ubaguzi wacha kujificha kitchen Laura akafika. Alikua anakaa more shy kuliko vile anakuaga nikajua huyu anaweza niuza. Kufika hapo macho ikapatana akashtukia ameangusha plate💔 Stesh : Whaat aki Laura si utanimalizia plates kwa hii nyumba Me : Are you ok? Laura : Yeah I'm sorry After kudishi mi nikabaki nikajifanya nadai kuwacht news kisubmarine Stesh akapanda bedroom 😂. Kila mse akaishia kudoz Hazel : Goodnight dad Me : Goodnight baby😊❤️love you Hazel : I love you too dad New number ikacall Me : Who's this "Ni Cindy.. Tresh gave me your new number..aki Carl uliendanga wapi" Me : Niko tu tho niko mbali kiasi Cindy : Carl it has been ten years I'm missing you😥 Me : Sithani kama utawahi niona ju sitawahi kuja huko Cindy : But can i say hi to Stesh Me : After ile drama ya ile mwaka I don't think so Cindy : Aki Carl nitamake sure nimekutafuta Huyu naye sasa ametoka wapi😂💔. Nikazima lights nikaishia kwa bedroom ya Laura Me : I came to say goodnight 😍 Chapter 06🦋 Laura alikua na uoga sana😂. Alikua amedungia night dress flani boo°bs zimesimama kwa chest kisubmarine naona hadi ndani hakua amedunga pan°ty Laura : Please don't do this Me : Just a kiss Mkurugenzi nikamhold vifity tukakiss for almost five minutes then nikapanda upstairs nikadoz😂. The following morning Stesh akaamka akafika job. Ilikua Friday na the following day ilifaa nimeet Loise so nikamkacll Me : Hey it's Carl Loise : Stay away from my house Carl kaa mbali kabisa Me : Nilikushow utoe hio ball ukaringa see your life now😂 Loise : Kesho I'll bring your son na I'll come with security incase utake kuiba mtoi Me : Sasa naiba mtoi nipeleke wapi Nilikua sure Stesh hawezi kaa na mtoi mwenye sio wake anaweza mtesa😂💔. Na siwezi pelekea my mum ama siz mtoi hio ni burden but i was not happy huyo mtoi akilelewa na step father💔. Me : Siwezi iba mtoi trust me Loise : I'll call you around 10 Me : Okay Nikaamka. The first thing nikapatana na Laura Laura : Kuna blackout hakuna stima so shower hazifanyi naweza kuboilia maji?😊 Me : Yeah sure Nikatoka kwanza nikafika garden nipigwe na kajua then nikarudi nipige shower. After kupiga shower pale breakfast ikaletwa Laura : I have a question Me : Tell me Laura : Are you sure utanilipia school fees Carl? Me : Yeah sure count on me Laura : Usikue unanidanganya nijiwaste then uniwachanishe Me : I can't do that Nikapewa forehead kiss nikajua hapa mkuu kichuma inaweza nolewa anytime🍆🍑. Nilikua kisubmarine nakaanga tu kama boss kila kitu inaletwa😂. Kiasi hivi phone ikaring kuangalia ni Cindy but sauti ilikua ya mwanaune Me : Who's this.. Cindy ako wapi "Carl..This is Denno" TO BE CONTINUED 🔥

CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
5/31/2025, 8:38:37 AM

💦 SECRETS 💦(Extended) Chapter 07&08🔥 Me : Whaat?..usikue umefanyia Cindy kitu mbaya wewe😳 Denno : Sina hio time..i want to meet you Me : For what?..cheki bro season yangu na wewe iliisha now I'm in a different life bro saka mse different najua kitu unataka kufanya..sio mimi niliua Damian😳💔 Denno : Who mentioned Damian?😂.. Carl mimi sina ubaya i have been looking for you toka nitoke prison and i have something that belongs to you Me : Nini hio? Denno : Wewe nitakupigia we meet nikuonyeshe Me : I'm out man Denno : Do this for me bro i also need your help Me : Man niliwacha life ya ukora sahi i want to venture into business by the way I'm busy Cindy akachukua phone Cindy : Carl ngoja..this guys pops up into my house anasema anakutafuta but he cant reach you.. who is this? Me : Ni mse tulikua tunafanya na yeye kazi but he's dangerous make sure ametoka kwako immediately💔 Cindy : Poa.. love you 😍 Denno is back na sijui anadai nini na mimi💔. Huyu mse nilikua sure hana intentions fiti💔. Laura akatoka bathroom manze amejifunga towel thig°hs zote ziko nje Me : Can i join you😂😍 Laura : Sijakukataza fanya vile unataka😂 Manze nikaweka kikombe kando nikamfata bedroom. Akatoa towel akatupa chini akaonesha mkuu mali🍑. Kiongozi nikatoa short nikatupa huko. Mkurugenzi nilislide pale central mali ilikua tamu ajab😂🍑. Chu°ma ilitembea huyu manzi pale kwa mali akamo=an hao mzima akijua Stesh hayuko around. Tulik°ulana the whole day ju tulikua tu wawili kwa hao😂. Sijui mbona Stesh akanitrust na huyu manzi😂. Afternoon huko ndo nilikua natoka bedroom yake nikamuacha hawezi hata simama😂. Nikapiga shower nikatoka kiasi kunyorosha miguu kisubmarine 😂. Akatoka akaishia kuleta mtoi. Wakafika Hazel : Hey dad here's a newsletter from school Kusoma hio newsletter ilikua unasema next Friday inafaa maparo wafike shule. Hii story ya kukua baba nayo sio mchezo maze😂💔. Hazel : Dad kesho hatuendi shule ni weekend Me : Yeah utawatch cartoon😂 Hazel : Noo i want to go out with you Laura : Baby kuja uoge Me : Kesho niko busy your mum will take you out Hazel : 😔😔😔 Huyu mtoi kichwa ngumu kama mama yake😂💔. Majioni Stesh akafika Stesh ; How was your day baby Me : My day was good Stesh : Can we talk? Me : Sure Tukiishia bedroom Chapter 08🦋 Nikashindwa leo nimeitwa kamukunji kwani kuna makosa ama💔 Me : What is it Stesh : Sio ati niko jealous but i think we should change the house help Me : Why?🤔 Stesh : Laura has been looking at you design ingine hata nimeanza kukua insecure.. I don't like the way she's looking at you Me: I thought hata unaniitia kitu ya maana Stesh : Whaat?..hio sio ya maana?..or what's going on..jana tukikula the girl kept on looking at you.. I'm your wife Carl Me : Ongea pole pole Stesh wacha kugombana there's nothing between me and the girl Stesh : Carl this girl wants you I'm a woman na najua Me : Zii you are just overthinking beb but Sithani..huyu dem amekaa hapa sana kama ni hivo tungejua Stesh : So nataka kusema hivi..tafuta kitu ya kufanya staki ukue unabaki hapa na Laura.. period Me : Whaat?..beb i told you soon I'm launching something great Stesh : Umesema hivo for 9 years Carl..nine good years and what happened?..unashinda kwa tv na video games the whole day waiting for Stesh to pay your premium subscriptions na DStv.. I'm tired Carl..go out like a man..soon Hazel anakua mkubwa what will you tell her?..focus Carl..hii maisha haikungoji..ukinisinya I'll take my kid na niende kwetu Me : Umesema unaenda kwenu toka sijui lini.. kama unataka kuenda wewe enda lakini nabaki na mtoi wangu Stesh : What about Rowlings?..kama huyo alikushinda kuchukua ndo utachukua Hazel?..my daughter remains with me usifanye ni make a bad move wewe Carl Me : Ooh unataka kuenda kwa Court?..toka nipoteze kazi Stesh umekua unabonga chafu sana Stesh : Kazi ya ujambazi?.. you almost got me killed hadi ukanificha sijui wapi..i lost my job because of you..a job that was paying me well i lost it because of a man..a man who was a criminal Nikashtukia nimemjenga kosi moja illegal kisubmarine 💔. Hazel akaingia Hazel : Momy why are you crying😥 Me : Hey baby momy is okay she's sick enda ukae na laura Stesh : Just tell her the truth..baby your dad has slapped me Hazel : Dad😭😭 Nikatoka na mtoi nikaishia na yeye nje. Manze hii family nayo ilikua inagonga ukuta. Nilikua naletana juu daily na Stesh TO BE CONTINUED 🔥

CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
5/31/2025, 8:38:21 AM

SECRETS ❤️ Season 4 🔥 𝗦𝗘𝗔𝗦𝗢𝗡 𝗙𝗜𝗡𝗔𝗟𝗘🔥 Episode 42,43 &44🔥 The person behind all this was Sandy so Sandy alikua Ras ndo maana nilikua nashindwa kwani how comes Ras anajuanga everything yenye inahappen💔 Steve : And for that mistake, Tresh you have to die Mike : Wait ngoja kwanza i want it to be painful Relax boss Steve : Now Carl I'm very rich vile wewe ulikua unataka kukua tajiri na mali ya my dad.. actually hii kazi nimerun na my mum toka kitambo sana Sandy : Wewe ulikua unaamini i was going to make you rich 💔😂.. i just wanted to keep you around nikingojea judgment day yako.. your wife is not safe we know where they are.. your mum your dad they're going to die Steve akachomoa pistol. Mamake akaingia kwa dinga akaleta ka revolver flani hivi nikajua kumbe kifo hunuka vibaya hivi. Mkuu nilifeel mkojo ikitoka cash cash 💔 Mike : You are under arrest for conducting criminal activities and unlawful activities around town Steve : What?🤔 Celine : Wait😳 Sandy : Mike?☹️ Mike : You are all under arrest mumezingirwa one bad move unakula risasi..weka bunduki chini Crackdown ya makarao ikamwagika hapo ndani vurugu ikaamka Sandy akajipiga risasi💔. Steve kusema ahepe akajengwa rithe ya mguu nikashindwa kunaenda aje💔🤫. Kumbe Mike alikua undercover police💔 Mike : I'm sorry Carl I used you as a bait kushika hizi nugu.. I'll explain later but for now you are coming with me Me : You killed soldier you son of a... Mike : I supervised it sio mimi nilimuua ilikua Cliff na Denno Nikafunguliwa nikawekwa pingu na Tresh hadi kwa land cruiser💔. Tukasundwa hapo na kina Celine na Jessy na hao makauzi wengine Me : You got what you wanted Jessy : Maybe you not me😂 Jessy akajidunga kisu na mkono ya left ju ya right alikua amefungwa pingu moja na Celine💔 Before tufike central police station Jessy alikua amededi ju ya kubleed. Akapelekwa morgue. Steve alikua kwa land cruiser different ju walisema wamemtafuta for years. Mimi nikatupwa kwa cell na zile ndume zingine. Nikapigwa na baridi nikitegea kisubmarine the following day Mike anishow maneo iko aje ju sielewi kabisa. The following day nikakuja nikatolewa. Nikapelekwa hapo mbele nikakaa. Mike akaingia Me : Bro what's going on Mike : Tresh has been released.. she's innocent Me : What about me man..who are you💔 Mike : Okay Carl this was a group of cartels wamesumbua gava for long na kuwashika ilikua ngumu ju wako connected na wanatumia deceiving names kama Ras..i was an undercover agent so hakuna vile ningetaka ujue ju hatungeshika hawa watu..at first you came to me ukanishow hauna doo na hauna kazi nikaona i can use you kama bait ju ulikua desperate.. sorry for that tho..mimi nilijioin hio gang as a government spy that's why they have never suspected me.. nilikua natamani sana hii siku ifike.. you are going to testify against Steve..as a witness Me : No no man I can't mi hadi niko confused man i can't believe you were part of this mara tena you are a spy Episode 43🔥 Mike : That's the way things work Carl ukitaka kushika mwizi unakua mwizi pia.. nilikua naona everything wanafanya then natuma Intel kwa gava.. Steve na mamake thought they were very smart but i was like a virus Me : Na mimi sasa bro after testifying then what? Mike : You are still going in with them ju you took part in this si unajua at some point you are not innocent you are guilty Me : But this was your idea bro it's like you were selling me man you used me bro what the heck Mike : Inafaa uende ndani the same years Steve anafungwa Me : ngapi Mike : Life imprisonment 💔 Me : Whaat💔😢 Mike : I have reduced your sentence ju nimewaambia you helped me too to catch this idi°ots..hakuna government agency ilifika level nimefika ya kushika hawa so I'm being promoted don't worry Carl..usione tu watu wanakaa hivi hivi ukawatharau some of them are DCI agents 😂💔 Me : Naenda ndani miaka ngapi Mike : Two years..but utakua unapewa special treatment kitu unakaziwa tu ni freedom of movement.. Jessy is dead.. Celine anaenda ndani for 50 years.. Me : Ooh no 😭 Mike : She was a criminal Carl.. actually Celine was even more dangerous around you nilikua nakaa na yeye macho sana.. remember what she diid to her cousin? M : Hio ulijuaje? Mike : Nilikua nafanya na yeye kazi ningekosa aje kujua.. Celine hakukua anakupenda.. alikua anafanya vile ameambi The following day tukafika kwa court. Kisubmarine ilibidi niuze Steve hivo kwa makarao ju hakukua na any other option. Nikajengwa zangu mbili two years kavu Me : Mike.. before you go i need to call my girlfriend Mike : Sure you can use my phone Me : Hello beb Stesh : Baby😭..i was worried i thought they killed you Nikachapia Stesh hio story. Nikapelekwa prison. After four days Stesh akakam. Stesh : Beb is this you😢 Me : Yeah honey things got bad lakini ni two years tu Stesh : Beb unaumia for real Me : Hii mambo itaisha.. don't tell mum anything Stesh : How?..they keep on asking me uko wapi..soon watataka kukuona💔..what will i tell them Me : Just fix things wasijue niko huku💔.. nacheki ball imekua kubwa Stesh : Yeah just counting weeks🙂..sikuenda ultrasound Me : So utakaa home amaa Stesh : Narudi home kwetu by the end of the week nimekaa kwenu sana Me : Okay ni sawa pia Stesh : Nitakua nakam kukuona beb don't worry..i just can't believe that Sandy and Steve were behind all this Me : Manze mi hadi sahi sielewi..so utarudi job ama? Stesh : zii huwezi jua maybe some of those thugs wanaweza kua huko..nitakaa home hadi nijifungue Manze pale prison kisubmarine Mike alikua amenisoma ju hakuna special treatment nilipewa.. ilikua kuamshwa na viboko daily asubuhi namapema😂🤚 Episode 44🦋 ONE MONTH LATER Stesh alipotea one month without visiting nikashindwa kwani aliamua kuolewa na ball yangu ama form ni gani😂. One day nikiwa nabeba mawe huko kwa quarry nikaitwa. Kufika napata ni Stesh amebeba mtoi Stesh : Meet your daughter Barbie Me : Wow😊.. you called her barbie?😳 Stesh : Yeah Me : No.. let's call her Hazel😍 Nikakaa pale na mtoi manze wueh sasa nimekua baba😂💔. After two weeks hivi Stesh akakuja na Tresh Tresh : I'm sorry Carl I didn't visit on time nilikua traumatized Me : I understand Stesh : I thought you only have one kid Me : Yeah mbona Tresh : Loise has your kid..a baby boy.. Rowlings Stesh : I thought hio ndo jina ulisema mtoi wetu akiwa boy ataitwa..sikujua you were planning it with Loise too💔 Me : Beb it just happened I'm really sorry Stesh : I'm not offended sorry for what? Me : Thanks Stesh : You're not welcomed Akanijenga kibare😂💔 Me : Tresh unafanya wapi kazi Tresh : Nilirudi kwetu.. Lizz is looking for me Siwezi kanyaga huko..kila mtu alitoka huko after kuona news ati Sandy was the ringleader wa hio cartel business. Jack resigned karibu kila mtu. Loise ndo alibaki huko 🦋 TWO YEARS LATER 🦋 After two years mkuu nikakua released. Stesh alinikamia akanipeleka place alibuy hao. Hazel alikua mbigy hadi anabonga😂 Stesh : You need to go and see your boy Me : Loise hajai nitafuta why should i do that Stesh : Blood is thicker i think Nikatoka nikatravel hadi tao ju ilikua mbali kiasi. Nikafika kwa Loise nikapata hadi aliolewa already 😂💔. Kuna jamaa alikua hapo nje anaota jua. Nikacheki Rowlings akicheza cheza hapo nje. That was my illegitimate son😂🤚 THE END Shukran nyote kwa wale huni support through different ways: ~Sharing the data till ya JOSEEPS DATA HUB to friends ~Reacting on Every Episode ~Forwading the story to friends ~Also purchasing Data through the till 𝐀𝐒𝐀𝐍𝐓𝐄𝐍𝐈 𝐒𝐀𝐍𝐀🙏✅ *𝐒𝐭𝐚𝐲 𝐭𝐮𝐧𝐞𝐝 𝐟𝐨𝐫 𝐒𝐄𝐀𝐒𝐎𝐍 5🔥💯*

CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
5/31/2025, 8:38:32 AM

🌺 SECRETS 🌺(Extended) Chapter 03&4🔥 The following day nikaamka manze nowadays hakuna kuenjoy life ni kukaa tu idle 😂💔. Deals zilidedi manze hadi sikuamuni ni mimi nilikua nashika mita za pesa manze sahi mita naweza shika maybe centimeters 😂. Laura akakuja Laura : Boss breakfast iko ready Me : I'm coming Huyu Laura alikua ameiva sijui Stesh alimtoa wapi😂💔. Nikajipin kwa hao nikadishy breako. Alikua anapita pale anazungusha haga mkuu naskia kuruka kichwa😂💔. Blake akaingia Blake : What's up bro Me : I'm good Blake : Stesh ako? Me : Si unajua ako job Blake : Ooh tho ni wewe nilikua nimekam kukuona Me : Tell me Blake : Si unajua nilitoka majuu for good nowadays sina kitu ya kufanya plus pia wewe naona umechill tu si tushikane tufungue biz bro Me : Biz kama gani sasa i have tried everything Blake : I gatch you bro..my dad amenipea capital nadai kufungua spare parts shop..spare za madinga Me : 😂😂💔what do you know about cars blake Blake : Sasa mse nimeishi majuu for years nakosa aje kujua mambo na madinga Me : Last time ulitaka kuinvest na mimi ukanisoma how can i trust you Blake : We will sign a contract with a lawyer Me : Sounds perfect tunaanza lini Blake : Next month..as we are talking natafuta place nitarent hio shop tao Nikaona hii itakua good idea kuliko nikae idle 😂💔. Blake akaishia. Laura akakuja kutoa cups kwa meza. Maze kuona hizo haga mwili ikachemka. Nikazispank akasonga kando😂💔 Laura : Kindly boss if Stesh sees this itaniletea shida Me : Stesh hayuko hapa Laura i told you to feel at home Laura : I know..but staki kuharibu hii kazi ju nasanya pesa nirudi college i dropped out ju ya fee and I don't want to mess up Me : I know..unadaiwa fee ya how much Laura : 75k Me : Which course Laura : Statics with IT..diploma tho Me : Wow..but i can help you clear your fee then we can talk Laura : Talk about what boss Me : Just call me Carl Nikamsongea😂. Kisubmarine hii mali ilikua imeiva sio mchezo. Nikaingiza mkono kwa bra akaitoa akaishia kitchen😂. Mkuu sijui mbona nilikua nafanya hii ufala lakini chuma ndo iko na makosa sio mimi. Ikafika time ya lunch akaketa food kwa meza🍝 Me : Uliamua aje Laura : About nini?? Chapter 04🔥 Me : Nilikushow naweza clear fee yako.. you are too cute to be a house help Nilikua nasema nitaclear hio fee na sina hata bob😂💔 Laura : Kindly stop flirting with me staki shida na Stesh Me : Mimi na wewe ndo hua tunashinda hapa Stesh hawezi jua about our little secret Laura : Why do you want to help me..what will you gain Me : I want nothing in return Laura i just like you❤️ Laura : It can't work Stesh akiwa hapa you are someone's husband 💔 Me : Laura i like your vibe to be honest and i want to maintain it..usiogope.. Stesh will never know about this i swear maybe wewe umwambie..ju fee yako by the end of next month nitakua nimeclear na hautakua na kazi mob maybe tu utafute za upkeep ju i still want to see you around feel free with me Laura : Aki boss this move is risky inaweza niharibia kazi ama hata Stesh anifanyie kitu mbaya Me : I'm here and I'll protect you❤️ Akasmile nikajua hapa chuma imelala ndani😂. Akakaa hapo tukawatch hadi mid afternoon hapo Laura : Bus itadrop Hazel in the next ten minutes let me go for her Nikashika mahaga manze nikaskia fiti. Akaishia. After some minutes wakarudi Hazel : Hey dad..ile homework nilipata yote😂 Me : Daddy si sharp😂 Hazel : yeah like me 😊 Me : Okay eat your food, aunty akuoshe ulale sawa? Hazel : Okay dad Stesh akaingia Stesh : Hey there Me : Heey you look cute Stesh : Thanks😂..nakwambia nimechoka Me : Want a massage Stesh : Baas nifate kwa bedroom Kufika huko juu massage ikageuka mechi😂🍆🍑. Mkuu nikafungulia chuma Stesh alikua anamoan hao yote sasa sijui kama Hazel na Laura waliskia ama kalikua kamelala😂. Hazel alikua anadoz ground floor na Laura tho different bedrooms Me : Practice kum°oan pole pole we have a kid now Stesh : Sasa kama naskia poa ninyamaze.. hawawezi skia wakiwa huko down😂.. should we add another kid.. maybe this time round I'll give you a son uwache kuenda kwa Loise Me : Now?..wacha Hazel agrow kiasi sahi ni mapema Stesh : She's 10 beb mimi nataka mtoi ujue ivo TO BE CONTINUED 💦 Kunipiga support haicost kitu😂 Kama umenunua data na JOSEEPS DATA HUB you can agree bingwa sokoni ni legit💯🔥

CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
5/31/2025, 8:38:25 AM

🫶SECRETS🫶 (Extended version) THE RETURN OF RAS (Ten years after the release of Denno🦋) Manze after ile drama ya organization ya Ras ilibidi nihame nisake a different place ju Lizz alikua ananisaka ju alikua anadai revenge. 😂. Sasa job ilikua imechora ju hata hio ya manager nilipata like bahati sasa ilikua kusaka plan B. Hazel alikua mbigy na Stesh alisema hatuwezi ongeza mtoi mwingine unless tukue stable. Kwa familia ya Simon ni Lizz tu alikua amebaki na hio mali yote manze😂. Tresh aliishia kwao akisaka job ingine. Sijai contact loise ju ile line nilikua natumia nilivunja wakati ya hio drama. Nilikua nimesettle na Stesh alikua amepata job kwa kampuni flani hapo tu tao. Nikiwa free nilikua napita huko kwa loise kucheki my son. Tulikua tunakaa town mbali kiasi na ile ya kwanza. Mkurugenzi niliamua kuventure into business lakini kisubmarine ni kama it wasn't my calling. Losses zilikua zinatoka kila kona biz inaanguka najaribu ingine lakini wapi😂💔. Rumors had it that Denno was in town. Nilikua nakaa ritho ju maybe amekujia revenge ya Damian. Stesh alikua amepata job kwa kampuni flani hapo. House help ilibidi awekwe ndo akue anapeleka Hazel chuo and stuff. Me : Laura let me roll kidogo hapa tao Stesh akikuja tell him I'll be back Laura : Poa boss Sahi hakuna dinga nilikua natumia cab ju Stesh aliishia na yake job. Nilikua nakaa vibesic design ingine mbaya sana. Stesh ndo alikua analipa bills zote na hio stuff haikua inanibamba😂💔. Nilikua nafika pale tao niishie huko nione kama naweza meet loise nione mtoi wangu ju nilikua nimechoka kushinda nimechungulia kama mchawi 😂💔. Nilikosa cab so ikabidi niingie mat. Kiundercover tulikua tumefinyana vibaya sana na kuna mse alikua ananuka viatu😂💔. Ilikua majioni ndo nipate Loise akiwa mtaa. Nikadunda area. Nilikua natembea nikiwa very keen Denno asikue mahali anione. Nikafika kwa hizo estates. Watoi walikua wanacheza nje. Tao ilikua inakaa weird toka nihame. Sikukua na number ya Loise so nikashindwa naweza mpata aje. Rowlings pia alikua anacheza hapo nje. Manze mtoi alikua ananifanana vibaya sana😂💔. Nikaingia kwa neighbor hapo kulikua na mathe flani Me : Hello "Watakaje" Me : I need your help TO BE CONTINUED🔥 Mnipige support apo JOSEEPS DATA HUB

CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
5/31/2025, 8:38:17 AM

❤️SECRETS❤️ Season 04🔥 Episode 40&41🦋 Jessy : Hio inaonesha how we°ak you were to trust me Me : I'll mess you up make sure mumenimaliza but nikipona you are all de°ad💔 Mike : 😂hasira zako mzee jiwekee tunangoja final information ufate wenzako Me : Wenzangu kina nani Mike : Soldier, Cliff..name them Dinga flani hapo ya Black SUV ikadunda. Mlango ikafunguliwa. Steve akatoka ndani💔. Sandy akatoka ndani💔 Me : Whaat l...😢😳 Sandy : Carlymax😂😂😂.. by the way meet the management tho wengine wametoka already Steve : You are the reason my dad is dead.. bring her out Tresh akatolewa kwa boot💔. Manze kisubmarine nikakua confused nikashindwa Kunaendaje 💔. Steve : Well Tresh Tresh : Leave me alone Steve it's not my fault😭💔 Sandy : Funga mdomo mj°inga☹️.. unajua Carl at first i thought you were very smart lakini wewe ni dwanzi..mjing°a wa mwisho kwa hii dunia Steve : You were almost revealing our secret to the public that's why nilikaa close sana na wewe..we knew everything that was going on hata vile alienda majuu na Blake we knew everything..vile umekua unapeleka babangu kuona Tresh you thought wewe ni mjanja sana uko side hassle😂💔..now my dad is dead and I'm supper Rich. Sandy : Najua Carl huwezi elewa vizuri vile but let me introduce myself.. I'm the leader here..every information ulikua unapewa, the deals na kila kitu I'm the one who run this street by the way ..i have been using different men calling themselves Ras even Steve was one of them but i was behind their voices Steve : I used to change my voice kidogo tu and you believed in an imaginary guy called Ras..ndo ujue wewe ni mjinga na uko na tamaa tu ya pesa.. first i introduced you to fake notes..ukataka kuomoka haraka na tamaa😂.. second thing i took you to my bedroom..nilimount hio picha ya Rasta man kwa ukuta intentionally to see if you'll realize something but carl ni nani yeye anataka tu pesa Episode 41🔥 Kumbe Sandy ndo Ras. Steve was just like an informant na hao wasee wengine 💔. Nilichanganyikiwa hapo chini hadi kamasi ikatoka na mdomo💔. Steve : Haujai jiuliza mbona huyu Ras hukupigia on specific days na different numbers.. Thursday, Mondays na weekends😂💔.. Ras was just a story we wanted foo+lish people to believe.. there's no one like Ras here with locks.. actually story soldier alikuambia about Ras kushikwa and all that that's what we wanted people to know.. everyone was looking for a rasta man to arrest wakakosa kujua Ras ako tu hapo nao💔..but you tried to trick me mkiwa na Tresh.. going against the game..sikukua nadate Tresh because i wanted a girlfriend..no i was just doing it for fun..mkapanga njama ya kuibia mzae mali yote mtoroke nayo..now i want you to talk you idi+ot amka Tresh : Please beb i can explain Steve : Nataka uanzie mwanzo hadi mwisho or I'll shoot you.. you saw what i did to Simon your boyfriend Tresh : Okay😭..i wanted money Steve na hio time hukua unanipea anything.. your dad came in..nikaamua kurisk but i was doing it for money.. Carl knew about my secrets na hata alikua analipwa na Simon kunikujia ama kuleta Simon kwangu..then vile nilitoka majuu i told him nataka kuwacha kudate babako nikae na wewe Carl akanishow ati the best method ni kuleave town before mambo iharibike Sandy : Wow ehee endelea Tresh : Then akanishow i need some money to do that..so akasema nibembeleze Simon anipee financial details zake then nimuibie pesa zote, nimpee share yake then nitoroke Sandy : Okay Carl unaweza chukulia hii kama family business but Simon na Lizz hawakujua our business.. it was very private Lizz alikua anajua tu Steve hununua fake notes sometime but they never knew who we were..nikakupea kazi Carl as a manager lakini huwezi niambia mambo ya Simon infact ukapanga kuniibia Me ; You were cheating on Simon.. sleepi°ng with small boys calling yourself Becky huko tinder..nimekupeleka na vijana wangapi lodgi°ng wewe?..wewe Steve unakumbuka mambo ya Andrew? Steve : Hahaa that's my mum's other side of life.. let her enjoy it i mean look life is short😂 TO BE CONTINUED 🔥 Hiyo poster ya Bingwa Sokoni apo juu help me ifikie watu🤲 Its legit 💯. Y'all give me a purpose to post Episodes everyday, mnipige support through buying data using that till na kuchanua mabeshte

CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
5/31/2025, 8:38:12 AM

❤️SECRETS❤️ Season 4 💦 Episode 36&37🦋 Kisubmarine nilikua nashinda indoors mchana then usiku natoka kubuy food narudi ndani. Nilifanya hivi for one week. Nikabuy new simcards nikacall Stesh. Akapick Me : Hey baby how's the going Stesh : Niko poa beb hata leo ndo naweka simcard kwa phone.. nimepata messages za Tresh ameandika ati "Tell Carl to help me" mara kama 20 hivo💔 Me : Assume hizo messages Stesh : Nimepata pia new numbers imejaribu kunicall, Blake na my parents pia Me : I'm sorry for messing up your life baby Stesh : Don't be sorry honey your life is mine too.. and i love you so much ♥️ Me : Kama niko safe sahi nothing will happen to us baby..wacha mambo ipoe we will go back to our lives in a different town Stesh : Okay baby stay safe and take care Me : Okay toa simcard kwa phone maybe they're tracking you..enda ubuy kaduda ukue ukitumia Stesh : Nakuanga na kaduda Me : That's good baby Nilikaa hio town manze hadi doo zikaanza kuisha💔. Airbnb daily nilikua nalipa 4K na ukikaa mchana pia ni 4k so in a day unalipa 8k. Niliwachilia ndevu na nywele mse hangenijua. But hapa pia sikukua safe💔. Sahi nilijua Mike amenitafuta kila mahali vibaya sana na Ras. Sasa Tresh alikua anadai nimsaidie aje manze na pia mini kimeumana. So nilikua nacall Stesh after every one week Fridays usiku. So kuna day nikamcall Stesh : Beb leo niko na idea..i have been thinking Me : Nishow Stesh : Instead of running away forever..si uende kwa nearest police ureport.. Me : Whaat? Stesh : Sijamaliza..tell them you know a gang in town penye tumekua wanarun illegal activities and they want to kill you since uliona one of the activities..the police will use you as a bait kushika hao watu Me : Beb hao watu sio watu watatu ama wawili.. it's a group of people..makarao watashika maybe 5 what about wenye watabaki? Hio method ya Stesh ingework tu kwa kushika Mike lakini Ras?. Makarao wangemtoa wapi? Stesh : Beb DCI wata ongeaa na hao watatu na they'll rat out hao wengine Me : 😂beb naongelea watu hata hao wasee watatu hawajai ona ama kumeet.. let's say for example Mike ashikwe you don't know him but ule alinicall ile siku..sasa atatoa wapi hao wengine na hajai waona? Nikamada hio call nikatoa simcard kwa kaduda nilikua nimebuy nikatoka niishie kubuy supper. Nikarudi. Kuingia kwa room napata Mike amekaa kwa bed na bunduki 💔😢 Episode 37🦋 Nilishtuka hadi food ikatoka kwa mkono ikaanguka. Nikatoka mbio kufika kwa mlango majamaa wawili wakanirudisha kwa hao💔 Mike : Caarrl😂..kijana mjanja eeh😂 Me : What's this bro😳 Mike : I'm not your bro..but your business associate..ukajiona mjanja sana ukahara moto ukatoroka thinking hii Kenya ni fupi kama plans zako Me : Naita makarao Mike : Mwachilie aende alete makarao what a smart move😂..so wewe ukaamini nimekutafutia job then kidogo ati nimesota naomba kazi?.. Carl how can i go broke to a point ati niwache dinga yangu nafanya udere kwa kampuni unafanya kazi?.. kampuni nilikuweka?.. you have been treating me as akid unajiona sana ati juu wewe ndo unapata information kwa Ras 😂..so you believed you are the only one? Me : Bro what's going on manze I'm a bit confused Mike : Ulifanya poa sana kutupa smartphone yako actually ilikua na tracker and it was tapped in a way that chenye unaongea tunaskia Me : Whaat💔 Mike : Ras aliona haufanyi kazi vizuri akanituma nikuchunge.. you were bad for business..mse kama wewe anaweza attract makarao na afanye the public ipate nfo kutuhusu.. Cliff akakushinda, Denno akakushinda hadi they turned against you.. someone had to be there Incase uharibu mambo that's why Ras akanituma.. Jessy alitumwa mara ya kwanza na yeye akafanya makosa ya kufall in love na Damian..she only had one assignment..kufunika Damian akikuchunga yeye akachukulia serious akafall in love Me : Bro nilikua nafanya everything Ras alitaka man sina ubaya..i have a family bro Mike : Ooh😂.. your unborn baby? And the girl Stesh..what a beauty Me : Please bro hii mambo wacha iishie hapa Mike : Noo..umecause a lot of damages kwa management you have to explain to the management Me : Cliff ako wapi Mike : I think you don't know Carl but this is a game of elimination..nyinyi wote mlikua kama players, soldier was eliminated, Damian alikua eliminated indirectly for trying to change the codes of business tho hakujua anadeal na kina nani, soldier was eliminated for going against the code of conducts akaingilia kazi sio yake.. akajifanya anasaidia admin kufanya kazi😂💔... TO BE CONTINUED🔥 Na mtu ajitokeze nimvurute nywele kaa chariot😩

CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
5/31/2025, 8:38:10 AM

❤️ SECRETS ❤️ Season 4🔥 Episode 34&35 Nilifreeze hadi phone ikatoka kwa mkono ikaanguka kidogo nilime dinga kwa ukuta💔 Stesh : Beb what's going on💔 Me : Nimeambiwa if i leave this town I'm a dead man💔..beb kuweka siri za watu ndo imetuletea hii shida yote.. secrets baby.. secrets💔 Mike akacall nikakataa kupick. Akacall tena Stesh akareceive Stesh : Wewe.. just leave us alone Mike : Hahaa😂..madam hio kelele yako itakuletea shida.. just take care of the baby we'll come for it but kwanza pea huyo mtu simu Me : Leave me alone man.. Cliff told me everything Mike : Yeah we know that..now that you know a lot.. you know everything.. everything.. why don't i just kill you?😂.. you can't run away from us Carl rudi kwa job so that we can talk about this you know Stesh akachukua phone akaweka kando. Nikadrive Stesh : Beb let's go I'm with you in this kama ni kukufa nakufa na wewe😭 Me : Don't worry baby Stesh : Tunaenda wapi Me : I'm taking you home huko utakua safe Stesh : But si utakua unahatarisha life ya family yako pia? Me : Zii we'll just tell them ball inakusumbua nataka ukae huko for sometimes then mimi nitaingia missing in action for sometimes before i resurface again Phone ikaring kuangalia ni Sandy nikasema at least manze hadi nikasema sasa hapa I'll tell her to protect me against Mike na kina Ras na hao wasee wote. Akakata call tena. Mi nikaendelea kudrive. Tamara akacall 📱 Tamara : Hello Carl uko kwa kazi Me : Yeah niko huko Tamara : Kazi iko aje Me : Iko poa kabisa Tamara : Next weekend kutakua na Manager's conference don't miss out😂 Me : Siwezi kosa😂 Tamara : Any challenge as a manager😂 Me : Kukuja job mapema na kutoka wa mwisho😂 Tamara : Hio ni kawaida usijali😂 Nikaendelea kudrive. Kiasi Sandy akacall 📱 tena. Hapa manze asiponiwekea ulinzi I'm finished😂💔 Me : Hello mum thanks for calling I really need your help Sandy : Mmh🙂.. since Steve wants a reason to k°ill his father?..why don't you tell him that Simon has been slee°ping with Tresh so that he can k°ill his father abaki na mali yote? Episode 35🦋 Nilitetemeka hadi nikapack dinga kwanza💔. Sandy ametoa wapi hio information💔 Me : Mum what are you talking about Sandy : Don't mum me Carl..unaona shida umeleta? Me : Shida mimi nimeleta ama hao?. Sandy : You had a chance of stopping this lakini wewe ulikua unakula tu pesa za Simon unakula kabisa unaskia poa sasa sahi just do what has to be done😳 Me : Mum? Listen to me can we talk about this Sandy : It's too late Carl.. Steve ameshoot babake💔.. you knew about this but you didn't bother to tell me or Steve..sahi Tresh ametoroka na wewe ndo utabeba hio msalaba.. Steve is looking for you..i trusted you Carl.. nilikua nimebank kwako vibaya sana.. i used to pay you ukue ukiniambia anything that was going on Me : Mum ningekushow Simon angenimaliza ju unge react na hasira Sandy : I hate you Carl Nikataka call tukarudi kwa dinga. Stesh : Beb zima simu no one will look for you Nikazima phone tukaishia. Tukafika home. Mum ndo alikua Mum : Alaa surprise visit na vile nataka kutoka😂..mngechelewa kidogo mngepata nilitoka Me : Wueh mum.. Stesh amezidiwa si unajua she's pregnant nimesema akuje akae huku akipoa ndo atakuja Mum : Aah hata umefanya vizuri hua naboeka sana😂..ni sawa my son let my daughter in-law stay with me Tukarudi kwa dinga na Stesh Me : Beb toa simcard zako zote kwa phone.. I'm going to change my simcards I'll call you after one week..if i don't call just report to any police station and tell my parents Stesh : Huwezi kufa Carl..beb you can't die😭💔 Me : It's okay baby..kwa hizo 500k nachukua 200 k ubaki na the rest ikusaidie Stesh : Okey honey 😢😢 Tukahug pale nikatoka na dinga yake. Nikatoa simcards kwa phone. Nikaishia mbali kabisa more than 500 miles kwa town flani ndogo nikarent Airbnb nikabuy ngepa nikaanza kuroll na kofia TO BE CONTINUED 🦋

CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
5/31/2025, 8:38:15 AM

❤️ SECRETS ❤️ SEASON 4 💦 Episode 38&39🦋 Manze nilikalishwa chini kwa floor bunduki zimeniangalia💔 Mike : Denno na Cliff wakakushinda aje Carl?..mtu kama Jessy alimaliza role yake mission accomplished.. Cliff akamaliza role yake mission accomplished.. Denno akajifanya genius akajaribu kuchange normal running of the game akakua eliminated..wewe ukajifanya sasa we ndo unataka kuchukua kazi ya Ras ukajiona kiongozi flani hadi unahepa unakaa incognito kama hacker in some unknown location 😂. It's your elimination time but yours will be specifical Me : Do aje man call Ras nibonge na yeye Ras ananitambua bro he knows me Mike : 😂😂😂 Ras hana huruma i think you know that..no mercy.. you failed us Carl Me : Surely aje man..aje Mike : Ulipeleleza Cliff ukajua a lot kushinda vile inafaa ikue..deals haufanyi vile inafaa.. mara Denno na Cliff ukawacha wakakula doo za biz ni kama hao ndo seniors😂..mara ukaacha Denno akaplan ambush ya makarao na bro yake..we thought you are smart Carl but ni mwili tu imebeba kichwa.. Carl you were to maintain a clean profile ukaingilia biashara haikuhusu Me : Biashara gani?💔 Mike : Mambo ya Simon..sasa unajifanya wewe ndo Johnson Statham unambeba akifanya umala°ya disgracing his own son with Tresh.. unajua at first Ras hakukutrust..akatuma Jessy ju ulikua mjanja sana hadi ukashinda Cliff na akili..bebeni yeye tuende Niliinuliwa hadi kupita pale kwa reception tukasmamishwa Receptionist : Hey hey this is our client you can't harass him😳 Mike : Sorry for that madam but you have been sheltering a criminal huyu anatafutwa na serikali Mike akachomoa badge ya makarao akaonyesha huyo mathe hadi akaogopa💔. Hawa wasee ni kina nani manze who is this Mike?..ako hadi na badge ya makarao. Nikasundwa kwa boot. Dinga ikatoka. Sijui ni wapi nilikua napelekwa💔. Dinga ilienda more than seven hours hadi ikafika morning bado inaenda tu. Wakapack mahali nikaskia ni kama amepack kwa warehouse.Nikaskia Mike anabonga na wasee wengine hapo. "Change of venue..wamesema apelekwe kwa venue ilikua ya kwanza" Episode 39🦋 Dinga ikachomoka tena. Tukatravel for like one full day tukafika usiku. Dinga ikapackiwa. Boot ikafunguliwa nikatolewa ndani. Jessy alikua amekaa hapo kwa kiti💔 Jessy : Hahaa😂carl mwenyewe eeh😂 Me : Jessy we can solve this hata wewe unajua sikukua na ubaya Jessy : Mmh let me think?..ooh so you are here for no reason?.. okay mwachilie aende Me : Jessy this will haunt you the rest of your life Jessy : Mmh ni sawa niko ready Me : Where's Cliff Mike : I told you he was eliminated..his role was over..alikuambia kila kitu Me : Mlijua aje Mike : Your phone was tapped remember? Me : Jessy hebu kam tuongee we can solve this na hakuna mse ataumia Mike : Ati kuumia😂💔..sahi ushatujua you know our faces and what we do hatuwezi kuwachilia vile unafikiria..i am the one who gave you that job thinking wewe ni mjanja lakini wapi Me : Kazi gani?..ya deals ama ya driving? Walikua wamenifunga makamba naongelea chini kama nyoka Mike : Yote Me : So bro you are Ras?😰..man hii time yote you have been fooling me na wewe ndo Ras..aki anani nikitoka kwa hii kamba naitumia kutereemsha jeneza yako futi kumi Jessy : Hasira haitakusaidia Carl😂..i have a surprise for you by the way.. Unakumbuka kuna time ulikua unanihepa hepa..hapo nikakosa vile naweza kumonitor..tho nilikua nimejua weakness yako...women 😂..hehee huyu jamaa kwa wanawake ni hatari so i brought in someone new..bring her Majamaa flani hapo wakaishia huko nyuma wakaleta Celine💔 Me : Celine💔😢 Celine : Hellooo😂.. Jessy : Now this is your surprise.. nilijaribu kutumia threats kwako lakini nikaona ni kama hautambui blackmail.. your whole life was funded by Ras, nyumba poa, life ya kiposh, ukakua promoted from driver maskini pap ukakua manager.. Cliff akakudanganya sijui nini happened hakukuja kwa interview but nothing happened..he was playing his role very well and you believed him. Cliff knew that by playing a fool hauwezi jua maneno vile inaenda and that was what made the game interesting Me : Stupid cartels Mike : 😂😂😂mind your tongue Carl uko pabaya Me : I don't care..kill me mnangoja nini?.. Celine i will skin you alive Celine : Carl naweza kuambia you have a charm.. I don't believe i fell in love with you kidogo nisahau kazi yangu😂💔.. everything that happened in your life nilikua najua..i knew who Cliff was but i was not going to tell you.. Denno alipewa kazi ju he had a strong criminal record so hata akifanya dirty business he had nothing to lose si unaona alirudi where he belonged? Me : Mbwa wewe😖.. stop talking to me.. Jessy free me..nilikuweka kwa payroll was that for granted? TO BE CONTINUED🔥 Wale loyal people wenye wamejaribu kununua DATA through JOSEEPS DATA HUB Ata nyinyi mnajua ni legit💯 si mnipige support kuchanua mabeshte watumie hiyo till 4710996? Ama hamuoni Effort nina make ya kuleta 4 episodes a day🥲

CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
5/31/2025, 8:38:28 AM

🫶 SECRETS 🫶 (Extended) Chapter 02🔥 Huyu mathe alikua anakaa tu wrong number😂💔. Kisubmarine alikua amebonda vibaya sana😂 Me : I'm Carl..nataka kuona Loise.. I don't know if you might help "Sasa how's that my problem.. Loise ako na bwanake..who are you" Me : I'm her visitor.. nilikua naomba kama unaweza niitia niongee na yeye "Get out of my compound" Ilibidi nijitoa. Nikarudi pale kwa gate. Nilikua nimesema leo lazima nione Loise. After something like 30 minutes hivi dinga ikiingia ikabidi nijipee shuguli. Loise akatoka ndani na bwanake wakaingia wakahug watoi . Hadi Rowling akahug huyo mse sasa sijui Loise alikua amemchocha huyo ndo budake ama🤔💔. Wakaingia kwa hao. Giza ilikua imeanza kushika. Kiasi hivi Loise akatoka nje. Alikua kwa call. Nikapiga makofi akaskia akakata call akaangalia huku kwa gate. Akakuja Loise : Whaat😳..what are you doing here Carl... please just go Me : I want to see my son Loise : Carl you can't.. he's not your son anymore.. for ten years umekua wapi?.. I'm married Carl na staki uharibu marriage yangu..your son knowns Adams kama babake not you Me : Loise I want to see my son now😳..ama nilete drama Loise : Staki mtoto wangu akue na jambazi mimi i heard what you used to do Carl you were a thief..a thug ulikua cartel😥 Me : Loise, Rowlings is my son na lazima ajue babake Loise : Aki Carl don't do this please..staki kuharibu hii marriage.. Rowlings utamuona lakini sio leo kindly i can give you my number unipigie weekend tumeet uone mtoto wako Loise akanijenga number nikatoka nikasihia home. Nikapata Stesh amekam Stesh : Sahi ni sangapi unaingia kwa nyumba Carl Me : Stesh I'm the man of this house hata kama ni wewe ulibuy Stesh : Nimeuliza tu penye umetoka Carl sahi ni 9 almost 10😏 Hazel : Dad can you help me do my homework.. I'm stranded Me : Wewe unajua maana ya stranded kweli😂..hebu leta tuone😂 TO BE CONTINUED 🦋 Mnipeee support tufike 5k follower's😂

Link copied to clipboard!