
CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
May 31, 2025 at 08:38 AM
❤️SECRETS❤️
Season 4 💦
Episode 36&37🦋
Kisubmarine nilikua nashinda indoors mchana then usiku natoka kubuy food narudi ndani. Nilifanya hivi for one week. Nikabuy new simcards nikacall Stesh. Akapick
Me : Hey baby how's the going
Stesh : Niko poa beb hata leo ndo naweka simcard kwa phone.. nimepata messages za Tresh ameandika ati "Tell Carl to help me" mara kama 20 hivo💔
Me : Assume hizo messages
Stesh : Nimepata pia new numbers imejaribu kunicall, Blake na my parents pia
Me : I'm sorry for messing up your life baby
Stesh : Don't be sorry honey your life is mine too.. and i love you so much ♥️
Me : Kama niko safe sahi nothing will happen to us baby..wacha mambo ipoe we will go back to our lives in a different town
Stesh : Okay baby stay safe and take care
Me : Okay toa simcard kwa phone maybe they're tracking you..enda ubuy kaduda ukue ukitumia
Stesh : Nakuanga na kaduda
Me : That's good baby
Nilikaa hio town manze hadi doo zikaanza kuisha💔. Airbnb daily nilikua nalipa 4K na ukikaa mchana pia ni 4k so in a day unalipa 8k. Niliwachilia ndevu na nywele mse hangenijua. But hapa pia sikukua safe💔. Sahi nilijua Mike amenitafuta kila mahali vibaya sana na Ras. Sasa Tresh alikua anadai nimsaidie aje manze na pia mini kimeumana. So nilikua nacall Stesh after every one week Fridays usiku. So kuna day nikamcall
Stesh : Beb leo niko na idea..i have been thinking
Me : Nishow
Stesh : Instead of running away forever..si uende kwa nearest police ureport..
Me : Whaat?
Stesh : Sijamaliza..tell them you know a gang in town penye tumekua wanarun illegal activities and they want to kill you since uliona one of the activities..the police will use you as a bait kushika hao watu
Me : Beb hao watu sio watu watatu ama wawili.. it's a group of people..makarao watashika maybe 5 what about wenye watabaki?
Hio method ya Stesh ingework tu kwa kushika Mike lakini Ras?. Makarao wangemtoa wapi?
Stesh : Beb DCI wata ongeaa na hao watatu na they'll rat out hao wengine
Me : 😂beb naongelea watu hata hao wasee watatu hawajai ona ama kumeet.. let's say for example Mike ashikwe you don't know him but ule alinicall ile siku..sasa atatoa wapi hao wengine na hajai waona?
Nikamada hio call nikatoa simcard kwa kaduda nilikua nimebuy nikatoka niishie kubuy supper. Nikarudi. Kuingia kwa room napata Mike amekaa kwa bed na bunduki 💔😢
Episode 37🦋
Nilishtuka hadi food ikatoka kwa mkono ikaanguka. Nikatoka mbio kufika kwa mlango majamaa wawili wakanirudisha kwa hao💔
Mike : Caarrl😂..kijana mjanja eeh😂
Me : What's this bro😳
Mike : I'm not your bro..but your business associate..ukajiona mjanja sana ukahara moto ukatoroka thinking hii Kenya ni fupi kama plans zako
Me : Naita makarao
Mike : Mwachilie aende alete makarao what a smart move😂..so wewe ukaamini nimekutafutia job then kidogo ati nimesota naomba kazi?.. Carl how can i go broke to a point ati niwache dinga yangu nafanya udere kwa kampuni unafanya kazi?.. kampuni nilikuweka?.. you have been treating me as akid unajiona sana ati juu wewe ndo unapata information kwa Ras 😂..so you believed you are the only one?
Me : Bro what's going on manze I'm a bit confused
Mike : Ulifanya poa sana kutupa smartphone yako actually ilikua na tracker and it was tapped in a way that chenye unaongea tunaskia
Me : Whaat💔
Mike : Ras aliona haufanyi kazi vizuri akanituma nikuchunge.. you were bad for business..mse kama wewe anaweza attract makarao na afanye the public ipate nfo kutuhusu.. Cliff akakushinda, Denno akakushinda hadi they turned against you.. someone had to be there Incase uharibu mambo that's why Ras akanituma.. Jessy alitumwa mara ya kwanza na yeye akafanya makosa ya kufall in love na Damian..she only had one assignment..kufunika Damian akikuchunga yeye akachukulia serious akafall in love
Me : Bro nilikua nafanya everything Ras alitaka man sina ubaya..i have a family bro
Mike : Ooh😂.. your unborn baby? And the girl Stesh..what a beauty
Me : Please bro hii mambo wacha iishie hapa
Mike : Noo..umecause a lot of damages kwa management you have to explain to the management
Me : Cliff ako wapi
Mike : I think you don't know Carl but this is a game of elimination..nyinyi wote mlikua kama players, soldier was eliminated, Damian alikua eliminated indirectly for trying to change the codes of business tho hakujua anadeal na kina nani, soldier was eliminated for going against the code of conducts akaingilia kazi sio yake.. akajifanya anasaidia admin kufanya kazi😂💔...
TO BE CONTINUED🔥
Na mtu ajitokeze nimvurute nywele kaa chariot😩