
CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
May 31, 2025 at 08:38 AM
❤️ SECRETS ❤️
SEASON 4 💦
Episode 38&39🦋
Manze nilikalishwa chini kwa floor bunduki zimeniangalia💔
Mike : Denno na Cliff wakakushinda aje Carl?..mtu kama Jessy alimaliza role yake mission accomplished.. Cliff akamaliza role yake mission accomplished.. Denno akajifanya genius akajaribu kuchange normal running of the game akakua eliminated..wewe ukajifanya sasa we ndo unataka kuchukua kazi ya Ras ukajiona kiongozi flani hadi unahepa unakaa incognito kama hacker in some unknown location 😂. It's your elimination time but yours will be specifical
Me : Do aje man call Ras nibonge na yeye Ras ananitambua bro he knows me
Mike : 😂😂😂 Ras hana huruma i think you know that..no mercy.. you failed us Carl
Me : Surely aje man..aje
Mike : Ulipeleleza Cliff ukajua a lot kushinda vile inafaa ikue..deals haufanyi vile inafaa.. mara Denno na Cliff ukawacha wakakula doo za biz ni kama hao ndo seniors😂..mara ukaacha Denno akaplan ambush ya makarao na bro yake..we thought you are smart Carl but ni mwili tu imebeba kichwa.. Carl you were to maintain a clean profile ukaingilia biashara haikuhusu
Me : Biashara gani?💔
Mike : Mambo ya Simon..sasa unajifanya wewe ndo Johnson Statham unambeba akifanya umala°ya disgracing his own son with Tresh.. unajua at first Ras hakukutrust..akatuma Jessy ju ulikua mjanja sana hadi ukashinda Cliff na akili..bebeni yeye tuende
Niliinuliwa hadi kupita pale kwa reception tukasmamishwa
Receptionist : Hey hey this is our client you can't harass him😳
Mike : Sorry for that madam but you have been sheltering a criminal huyu anatafutwa na serikali
Mike akachomoa badge ya makarao akaonyesha huyo mathe hadi akaogopa💔. Hawa wasee ni kina nani manze who is this Mike?..ako hadi na badge ya makarao. Nikasundwa kwa boot. Dinga ikatoka. Sijui ni wapi nilikua napelekwa💔. Dinga ilienda more than seven hours hadi ikafika morning bado inaenda tu. Wakapack mahali nikaskia ni kama amepack kwa warehouse.Nikaskia Mike anabonga na wasee wengine hapo.
"Change of venue..wamesema apelekwe kwa venue ilikua ya kwanza"
Episode 39🦋
Dinga ikachomoka tena. Tukatravel for like one full day tukafika usiku. Dinga ikapackiwa. Boot ikafunguliwa nikatolewa ndani. Jessy alikua amekaa hapo kwa kiti💔
Jessy : Hahaa😂carl mwenyewe eeh😂
Me : Jessy we can solve this hata wewe unajua sikukua na ubaya
Jessy : Mmh let me think?..ooh so you are here for no reason?.. okay mwachilie aende
Me : Jessy this will haunt you the rest of your life
Jessy : Mmh ni sawa niko ready
Me : Where's Cliff
Mike : I told you he was eliminated..his role was over..alikuambia kila kitu
Me : Mlijua aje
Mike : Your phone was tapped remember?
Me : Jessy hebu kam tuongee we can solve this na hakuna mse ataumia
Mike : Ati kuumia😂💔..sahi ushatujua you know our faces and what we do hatuwezi kuwachilia vile unafikiria..i am the one who gave you that job thinking wewe ni mjanja lakini wapi
Me : Kazi gani?..ya deals ama ya driving?
Walikua wamenifunga makamba naongelea chini kama nyoka
Mike : Yote
Me : So bro you are Ras?😰..man hii time yote you have been fooling me na wewe ndo Ras..aki anani nikitoka kwa hii kamba naitumia kutereemsha jeneza yako futi kumi
Jessy : Hasira haitakusaidia Carl😂..i have a surprise for you by the way.. Unakumbuka kuna time ulikua unanihepa hepa..hapo nikakosa vile naweza kumonitor..tho nilikua nimejua weakness yako...women 😂..hehee huyu jamaa kwa wanawake ni hatari so i brought in someone new..bring her
Majamaa flani hapo wakaishia huko nyuma wakaleta Celine💔
Me : Celine💔😢
Celine : Hellooo😂..
Jessy : Now this is your surprise.. nilijaribu kutumia threats kwako lakini nikaona ni kama hautambui blackmail.. your whole life was funded by Ras, nyumba poa, life ya kiposh, ukakua promoted from driver maskini pap ukakua manager.. Cliff akakudanganya sijui nini happened hakukuja kwa interview but nothing happened..he was playing his role very well and you believed him.
Cliff knew that by playing a fool hauwezi jua maneno vile inaenda and that was what made the game interesting
Me : Stupid cartels
Mike : 😂😂😂mind your tongue Carl uko pabaya
Me : I don't care..kill me mnangoja nini?.. Celine i will skin you alive
Celine : Carl naweza kuambia you have a charm.. I don't believe i fell in love with you kidogo nisahau kazi yangu😂💔.. everything that happened in your life nilikua najua..i knew who Cliff was but i was not going to tell you.. Denno alipewa kazi ju he had a strong criminal record so hata akifanya dirty business he had nothing to lose si unaona alirudi where he belonged?
Me : Mbwa wewe😖.. stop talking to me.. Jessy free me..nilikuweka kwa payroll was that for granted?
TO BE CONTINUED🔥
Wale loyal people wenye wamejaribu kununua DATA through JOSEEPS DATA HUB
Ata nyinyi mnajua ni legit💯 si mnipige support kuchanua mabeshte watumie hiyo till 4710996?
Ama hamuoni Effort nina make ya kuleta 4 episodes a day🥲