CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
May 31, 2025 at 08:38 AM
SECRETS ❤️ Season 4 🔥 𝗦𝗘𝗔𝗦𝗢𝗡 𝗙𝗜𝗡𝗔𝗟𝗘🔥 Episode 42,43 &44🔥 The person behind all this was Sandy so Sandy alikua Ras ndo maana nilikua nashindwa kwani how comes Ras anajuanga everything yenye inahappen💔 Steve : And for that mistake, Tresh you have to die Mike : Wait ngoja kwanza i want it to be painful Relax boss Steve : Now Carl I'm very rich vile wewe ulikua unataka kukua tajiri na mali ya my dad.. actually hii kazi nimerun na my mum toka kitambo sana Sandy : Wewe ulikua unaamini i was going to make you rich 💔😂.. i just wanted to keep you around nikingojea judgment day yako.. your wife is not safe we know where they are.. your mum your dad they're going to die Steve akachomoa pistol. Mamake akaingia kwa dinga akaleta ka revolver flani hivi nikajua kumbe kifo hunuka vibaya hivi. Mkuu nilifeel mkojo ikitoka cash cash 💔 Mike : You are under arrest for conducting criminal activities and unlawful activities around town Steve : What?🤔 Celine : Wait😳 Sandy : Mike?☹️ Mike : You are all under arrest mumezingirwa one bad move unakula risasi..weka bunduki chini Crackdown ya makarao ikamwagika hapo ndani vurugu ikaamka Sandy akajipiga risasi💔. Steve kusema ahepe akajengwa rithe ya mguu nikashindwa kunaenda aje💔🤫. Kumbe Mike alikua undercover police💔 Mike : I'm sorry Carl I used you as a bait kushika hizi nugu.. I'll explain later but for now you are coming with me Me : You killed soldier you son of a... Mike : I supervised it sio mimi nilimuua ilikua Cliff na Denno Nikafunguliwa nikawekwa pingu na Tresh hadi kwa land cruiser💔. Tukasundwa hapo na kina Celine na Jessy na hao makauzi wengine Me : You got what you wanted Jessy : Maybe you not me😂 Jessy akajidunga kisu na mkono ya left ju ya right alikua amefungwa pingu moja na Celine💔 Before tufike central police station Jessy alikua amededi ju ya kubleed. Akapelekwa morgue. Steve alikua kwa land cruiser different ju walisema wamemtafuta for years. Mimi nikatupwa kwa cell na zile ndume zingine. Nikapigwa na baridi nikitegea kisubmarine the following day Mike anishow maneo iko aje ju sielewi kabisa. The following day nikakuja nikatolewa. Nikapelekwa hapo mbele nikakaa. Mike akaingia Me : Bro what's going on Mike : Tresh has been released.. she's innocent Me : What about me man..who are you💔 Mike : Okay Carl this was a group of cartels wamesumbua gava for long na kuwashika ilikua ngumu ju wako connected na wanatumia deceiving names kama Ras..i was an undercover agent so hakuna vile ningetaka ujue ju hatungeshika hawa watu..at first you came to me ukanishow hauna doo na hauna kazi nikaona i can use you kama bait ju ulikua desperate.. sorry for that tho..mimi nilijioin hio gang as a government spy that's why they have never suspected me.. nilikua natamani sana hii siku ifike.. you are going to testify against Steve..as a witness Me : No no man I can't mi hadi niko confused man i can't believe you were part of this mara tena you are a spy Episode 43🔥 Mike : That's the way things work Carl ukitaka kushika mwizi unakua mwizi pia.. nilikua naona everything wanafanya then natuma Intel kwa gava.. Steve na mamake thought they were very smart but i was like a virus Me : Na mimi sasa bro after testifying then what? Mike : You are still going in with them ju you took part in this si unajua at some point you are not innocent you are guilty Me : But this was your idea bro it's like you were selling me man you used me bro what the heck Mike : Inafaa uende ndani the same years Steve anafungwa Me : ngapi Mike : Life imprisonment 💔 Me : Whaat💔😢 Mike : I have reduced your sentence ju nimewaambia you helped me too to catch this idi°ots..hakuna government agency ilifika level nimefika ya kushika hawa so I'm being promoted don't worry Carl..usione tu watu wanakaa hivi hivi ukawatharau some of them are DCI agents 😂💔 Me : Naenda ndani miaka ngapi Mike : Two years..but utakua unapewa special treatment kitu unakaziwa tu ni freedom of movement.. Jessy is dead.. Celine anaenda ndani for 50 years.. Me : Ooh no 😭 Mike : She was a criminal Carl.. actually Celine was even more dangerous around you nilikua nakaa na yeye macho sana.. remember what she diid to her cousin? M : Hio ulijuaje? Mike : Nilikua nafanya na yeye kazi ningekosa aje kujua.. Celine hakukua anakupenda.. alikua anafanya vile ameambi The following day tukafika kwa court. Kisubmarine ilibidi niuze Steve hivo kwa makarao ju hakukua na any other option. Nikajengwa zangu mbili two years kavu Me : Mike.. before you go i need to call my girlfriend Mike : Sure you can use my phone Me : Hello beb Stesh : Baby😭..i was worried i thought they killed you Nikachapia Stesh hio story. Nikapelekwa prison. After four days Stesh akakam. Stesh : Beb is this you😢 Me : Yeah honey things got bad lakini ni two years tu Stesh : Beb unaumia for real Me : Hii mambo itaisha.. don't tell mum anything Stesh : How?..they keep on asking me uko wapi..soon watataka kukuona💔..what will i tell them Me : Just fix things wasijue niko huku💔.. nacheki ball imekua kubwa Stesh : Yeah just counting weeks🙂..sikuenda ultrasound Me : So utakaa home amaa Stesh : Narudi home kwetu by the end of the week nimekaa kwenu sana Me : Okay ni sawa pia Stesh : Nitakua nakam kukuona beb don't worry..i just can't believe that Sandy and Steve were behind all this Me : Manze mi hadi sahi sielewi..so utarudi job ama? Stesh : zii huwezi jua maybe some of those thugs wanaweza kua huko..nitakaa home hadi nijifungue Manze pale prison kisubmarine Mike alikua amenisoma ju hakuna special treatment nilipewa.. ilikua kuamshwa na viboko daily asubuhi namapema😂🤚 Episode 44🦋 ONE MONTH LATER Stesh alipotea one month without visiting nikashindwa kwani aliamua kuolewa na ball yangu ama form ni gani😂. One day nikiwa nabeba mawe huko kwa quarry nikaitwa. Kufika napata ni Stesh amebeba mtoi Stesh : Meet your daughter Barbie Me : Wow😊.. you called her barbie?😳 Stesh : Yeah Me : No.. let's call her Hazel😍 Nikakaa pale na mtoi manze wueh sasa nimekua baba😂💔. After two weeks hivi Stesh akakuja na Tresh Tresh : I'm sorry Carl I didn't visit on time nilikua traumatized Me : I understand Stesh : I thought you only have one kid Me : Yeah mbona Tresh : Loise has your kid..a baby boy.. Rowlings Stesh : I thought hio ndo jina ulisema mtoi wetu akiwa boy ataitwa..sikujua you were planning it with Loise too💔 Me : Beb it just happened I'm really sorry Stesh : I'm not offended sorry for what? Me : Thanks Stesh : You're not welcomed Akanijenga kibare😂💔 Me : Tresh unafanya wapi kazi Tresh : Nilirudi kwetu.. Lizz is looking for me Siwezi kanyaga huko..kila mtu alitoka huko after kuona news ati Sandy was the ringleader wa hio cartel business. Jack resigned karibu kila mtu. Loise ndo alibaki huko 🦋 TWO YEARS LATER 🦋 After two years mkuu nikakua released. Stesh alinikamia akanipeleka place alibuy hao. Hazel alikua mbigy hadi anabonga😂 Stesh : You need to go and see your boy Me : Loise hajai nitafuta why should i do that Stesh : Blood is thicker i think Nikatoka nikatravel hadi tao ju ilikua mbali kiasi. Nikafika kwa Loise nikapata hadi aliolewa already 😂💔. Kuna jamaa alikua hapo nje anaota jua. Nikacheki Rowlings akicheza cheza hapo nje. That was my illegitimate son😂🤚 THE END Shukran nyote kwa wale huni support through different ways: ~Sharing the data till ya JOSEEPS DATA HUB to friends ~Reacting on Every Episode ~Forwading the story to friends ~Also purchasing Data through the till 𝐀𝐒𝐀𝐍𝐓𝐄𝐍𝐈 𝐒𝐀𝐍𝐀🙏✅ *𝐒𝐭𝐚𝐲 𝐭𝐮𝐧𝐞𝐝 𝐟𝐨𝐫 𝐒𝐄𝐀𝐒𝐎𝐍 5🔥💯*

Comments