
CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
May 31, 2025 at 08:38 AM
🫶 SECRETS 🫶 (Extended)
Chapter 02🔥
Huyu mathe alikua anakaa tu wrong number😂💔. Kisubmarine alikua amebonda vibaya sana😂
Me : I'm Carl..nataka kuona Loise.. I don't know if you might help
"Sasa how's that my problem.. Loise ako na bwanake..who are you"
Me : I'm her visitor.. nilikua naomba kama unaweza niitia niongee na yeye
"Get out of my compound"
Ilibidi nijitoa. Nikarudi pale kwa gate. Nilikua nimesema leo lazima nione Loise. After something like 30 minutes hivi dinga ikiingia ikabidi nijipee shuguli. Loise akatoka ndani na bwanake wakaingia wakahug watoi . Hadi Rowling akahug huyo mse sasa sijui Loise alikua amemchocha huyo ndo budake ama🤔💔. Wakaingia kwa hao. Giza ilikua imeanza kushika. Kiasi hivi Loise akatoka nje. Alikua kwa call. Nikapiga makofi akaskia akakata call akaangalia huku kwa gate. Akakuja
Loise : Whaat😳..what are you doing here Carl... please just go
Me : I want to see my son
Loise : Carl you can't.. he's not your son anymore.. for ten years umekua wapi?.. I'm married Carl na staki uharibu marriage yangu..your son knowns Adams kama babake not you
Me : Loise I want to see my son now😳..ama nilete drama
Loise : Staki mtoto wangu akue na jambazi mimi i heard what you used to do Carl you were a thief..a thug ulikua cartel😥
Me : Loise, Rowlings is my son na lazima ajue babake
Loise : Aki Carl don't do this please..staki kuharibu hii marriage.. Rowlings utamuona lakini sio leo kindly i can give you my number unipigie weekend tumeet uone mtoto wako
Loise akanijenga number nikatoka nikasihia home. Nikapata Stesh amekam
Stesh : Sahi ni sangapi unaingia kwa nyumba Carl
Me : Stesh I'm the man of this house hata kama ni wewe ulibuy
Stesh : Nimeuliza tu penye umetoka Carl sahi ni 9 almost 10😏
Hazel : Dad can you help me do my homework.. I'm stranded
Me : Wewe unajua maana ya stranded kweli😂..hebu leta tuone😂
TO BE CONTINUED 🦋
Mnipeee support tufike 5k follower's😂