
CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
May 31, 2025 at 08:38 AM
🌺 SECRETS 🌺(Extended)
Chapter 03&4🔥
The following day nikaamka manze nowadays hakuna kuenjoy life ni kukaa tu idle 😂💔. Deals zilidedi manze hadi sikuamuni ni mimi nilikua nashika mita za pesa manze sahi mita naweza shika maybe centimeters 😂. Laura akakuja
Laura : Boss breakfast iko ready
Me : I'm coming
Huyu Laura alikua ameiva sijui Stesh alimtoa wapi😂💔. Nikajipin kwa hao nikadishy breako. Alikua anapita pale anazungusha haga mkuu naskia kuruka kichwa😂💔. Blake akaingia
Blake : What's up bro
Me : I'm good
Blake : Stesh ako?
Me : Si unajua ako job
Blake : Ooh tho ni wewe nilikua nimekam kukuona
Me : Tell me
Blake : Si unajua nilitoka majuu for good nowadays sina kitu ya kufanya plus pia wewe naona umechill tu si tushikane tufungue biz bro
Me : Biz kama gani sasa i have tried everything
Blake : I gatch you bro..my dad amenipea capital nadai kufungua spare parts shop..spare za madinga
Me : 😂😂💔what do you know about cars blake
Blake : Sasa mse nimeishi majuu for years nakosa aje kujua mambo na madinga
Me : Last time ulitaka kuinvest na mimi ukanisoma how can i trust you
Blake : We will sign a contract with a lawyer
Me : Sounds perfect tunaanza lini
Blake : Next month..as we are talking natafuta place nitarent hio shop tao
Nikaona hii itakua good idea kuliko nikae idle 😂💔. Blake akaishia. Laura akakuja kutoa cups kwa meza. Maze kuona hizo haga mwili ikachemka. Nikazispank akasonga kando😂💔
Laura : Kindly boss if Stesh sees this itaniletea shida
Me : Stesh hayuko hapa Laura i told you to feel at home
Laura : I know..but staki kuharibu hii kazi ju nasanya pesa nirudi college i dropped out ju ya fee and I don't want to mess up
Me : I know..unadaiwa fee ya how much
Laura : 75k
Me : Which course
Laura : Statics with IT..diploma tho
Me : Wow..but i can help you clear your fee then we can talk
Laura : Talk about what boss
Me : Just call me Carl
Nikamsongea😂. Kisubmarine hii mali ilikua imeiva sio mchezo. Nikaingiza mkono kwa bra akaitoa akaishia kitchen😂. Mkuu sijui mbona nilikua nafanya hii ufala lakini chuma ndo iko na makosa sio mimi. Ikafika time ya lunch akaketa food kwa meza🍝
Me : Uliamua aje
Laura : About nini??
Chapter 04🔥
Me : Nilikushow naweza clear fee yako.. you are too cute to be a house help
Nilikua nasema nitaclear hio fee na sina hata bob😂💔
Laura : Kindly stop flirting with me staki shida na Stesh
Me : Mimi na wewe ndo hua tunashinda hapa Stesh hawezi jua about our little secret
Laura : Why do you want to help me..what will you gain
Me : I want nothing in return Laura i just like you❤️
Laura : It can't work Stesh akiwa hapa you are someone's husband 💔
Me : Laura i like your vibe to be honest and i want to maintain it..usiogope.. Stesh will never know about this i swear maybe wewe umwambie..ju fee yako by the end of next month nitakua nimeclear na hautakua na kazi mob maybe tu utafute za upkeep ju i still want to see you around feel free with me
Laura : Aki boss this move is risky inaweza niharibia kazi ama hata Stesh anifanyie kitu mbaya
Me : I'm here and I'll protect you❤️
Akasmile nikajua hapa chuma imelala ndani😂. Akakaa hapo tukawatch hadi mid afternoon hapo
Laura : Bus itadrop Hazel in the next ten minutes let me go for her
Nikashika mahaga manze nikaskia fiti. Akaishia. After some minutes wakarudi
Hazel : Hey dad..ile homework nilipata yote😂
Me : Daddy si sharp😂
Hazel : yeah like me 😊
Me : Okay eat your food, aunty akuoshe ulale sawa?
Hazel : Okay dad
Stesh akaingia
Stesh : Hey there
Me : Heey you look cute
Stesh : Thanks😂..nakwambia nimechoka
Me : Want a massage
Stesh : Baas nifate kwa bedroom
Kufika huko juu massage ikageuka mechi😂🍆🍑. Mkuu nikafungulia chuma Stesh alikua anamoan hao yote sasa sijui kama Hazel na Laura waliskia ama kalikua kamelala😂. Hazel alikua anadoz ground floor na Laura tho different bedrooms
Me : Practice kum°oan pole pole we have a kid now
Stesh : Sasa kama naskia poa ninyamaze.. hawawezi skia wakiwa huko down😂.. should we add another kid.. maybe this time round I'll give you a son uwache kuenda kwa Loise
Me : Now?..wacha Hazel agrow kiasi sahi ni mapema
Stesh : She's 10 beb mimi nataka mtoi ujue ivo
TO BE CONTINUED 💦
Kunipiga support haicost kitu😂
Kama umenunua data na JOSEEPS DATA HUB you can agree bingwa sokoni ni legit💯🔥