
CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
May 31, 2025 at 08:38 AM
🔥 SECRETS 🔥 (Extended)
Chapter 05&06🔥
Stesh : Then beb look for something ukue unafanya hautakua unakaa tu hivi.. hazel is growing na soon tutakua na wengine we need to be financially stable
Me : Blake anasema your dad anampea capital we are going to start a business
Stesh : Wewe jiweke kwa Blake utashangaa
Time ya supper pale kwa meza food ikaletwa tukajipin pole pole
Stesh : Laura
Laura : Yes
Stesh : Come eat with us hapa hakuna ubaguzi wacha kujificha kitchen
Laura akafika. Alikua anakaa more shy kuliko vile anakuaga nikajua huyu anaweza niuza. Kufika hapo macho ikapatana akashtukia ameangusha plate💔
Stesh : Whaat aki Laura si utanimalizia plates kwa hii nyumba
Me : Are you ok?
Laura : Yeah I'm sorry
After kudishi mi nikabaki nikajifanya nadai kuwacht news kisubmarine Stesh akapanda bedroom 😂. Kila mse akaishia kudoz
Hazel : Goodnight dad
Me : Goodnight baby😊❤️love you
Hazel : I love you too dad
New number ikacall
Me : Who's this
"Ni Cindy.. Tresh gave me your new number..aki Carl uliendanga wapi"
Me : Niko tu tho niko mbali kiasi
Cindy : Carl it has been ten years I'm missing you😥
Me : Sithani kama utawahi niona ju sitawahi kuja huko
Cindy : But can i say hi to Stesh
Me : After ile drama ya ile mwaka I don't think so
Cindy : Aki Carl nitamake sure nimekutafuta
Huyu naye sasa ametoka wapi😂💔. Nikazima lights nikaishia kwa bedroom ya Laura
Me : I came to say goodnight 😍
Chapter 06🦋
Laura alikua na uoga sana😂. Alikua amedungia night dress flani boo°bs zimesimama kwa chest kisubmarine naona hadi ndani hakua amedunga pan°ty
Laura : Please don't do this
Me : Just a kiss
Mkurugenzi nikamhold vifity tukakiss for almost five minutes then nikapanda upstairs nikadoz😂. The following morning Stesh akaamka akafika job. Ilikua Friday na the following day ilifaa nimeet Loise so nikamkacll
Me : Hey it's Carl
Loise : Stay away from my house Carl kaa mbali kabisa
Me : Nilikushow utoe hio ball ukaringa see your life now😂
Loise : Kesho I'll bring your son na I'll come with security incase utake kuiba mtoi
Me : Sasa naiba mtoi nipeleke wapi
Nilikua sure Stesh hawezi kaa na mtoi mwenye sio wake anaweza mtesa😂💔. Na siwezi pelekea my mum ama siz mtoi hio ni burden but i was not happy huyo mtoi akilelewa na step father💔.
Me : Siwezi iba mtoi trust me
Loise : I'll call you around 10
Me : Okay
Nikaamka. The first thing nikapatana na Laura
Laura : Kuna blackout hakuna stima so shower hazifanyi naweza kuboilia maji?😊
Me : Yeah sure
Nikatoka kwanza nikafika garden nipigwe na kajua then nikarudi nipige shower. After kupiga shower pale breakfast ikaletwa
Laura : I have a question
Me : Tell me
Laura : Are you sure utanilipia school fees Carl?
Me : Yeah sure count on me
Laura : Usikue unanidanganya nijiwaste then uniwachanishe
Me : I can't do that
Nikapewa forehead kiss nikajua hapa mkuu kichuma inaweza nolewa anytime🍆🍑. Nilikua kisubmarine nakaanga tu kama boss kila kitu inaletwa😂. Kiasi hivi phone ikaring kuangalia ni Cindy but sauti ilikua ya mwanaune
Me : Who's this.. Cindy ako wapi
"Carl..This is Denno"
TO BE CONTINUED 🔥