CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
May 31, 2025 at 08:38 AM
🔥 SECRETS 🔥(Extended) Chapter 09&10🦋 Nikarudi bedroom Me : I know i have been a bad husband Stesh.. you have been providing everything toka nipoteze job and thanks for giving me a comfortable life tho sina job.. I'm sorry honey hakuna marriage hukua perfect..so i want to leave..nitakua nakam kuona mtoi.. I'm sorry this had to happen for your peace Stesh💔.. for ten years we have been fighting na reason ni ati sina job..i have tried everything beb but hakuna kitu inaingiana . I'm just sad hazel will live without a dad..thid is the only thing i can do to make you happy Stesh Manze nikasema kisubmarine wacha nijitoe ju enyewe mi na Stesh sikuona tukifika mbali. For 10 years nimekua bila job. Nikachukua suitcase nikapack nguo zangu. Nikadunga manze nijitoe hivo. Stesh bado alikua hapo kwa bed analia. Hazel akarudi Hazel ; Dad unatravel kwa shosh? Me : Yes baby but nitarudi kukuona.. I'll miss you baby Kuamka niishie Stesh akanishika mkono💔 Stesh : You are not leaving this house😭..baby enda uone Laura.. Carl i really love you from the word go😥..i know i have been providing everything but at some point pia nimekua naongea mbaya.. I'm sorry for taking advantage..we can solve this Carl tukae chini tusolve ju leaving won't solve anything..nataka hazel akue anakuona daily i don't want my daughter to lack fatherly love please Carl don't leave 😥 Me : That won't solve anything Stesh Stesh : It will baby..it will Mkurugenzi nika unpack virago nikatulia😂. Tukachill pale kwa bed na mtoi😂 Hazel : Momy naogopa kulala peke yangu kwa bedroom I'll sleep with you today 😥 Me : Why baby😥 Hazel : Rafiki yangu kwa shule anaitwa Shamim aliniambia ati ghost huuma watu usiku na staki ghost iniume Me : Noo baby hakuna kitu kama ghost..ghost haiwezi ingia kwa nyumba shamin alikudanganya Stesh : Yeah baby dad is telling the truth Tukadoz pale na mtoi hata hatukudishi😂. The following day nikaamka mapema niunde breakfast ju nilikua nataka kufunika Stesh at least kisubmarine aone ni kama mkuu ameanza kuchange. Nikamkelea breakfast kwa bed pale na mtoi. Me : Today I'll be going somewhere Stesh : To see Rowlings? Me : Sikutaka ujue but yeah to meet him for the first time Stesh : He's your son..i heard Loise aliolewa kwa CEO wa kampuni flani huko tao..atakubali kukuonesha mtoto? Me : I don't think kama atakataa.. by the way mbona haujai kua against this?😂 Stesh : Why should i😂.. he's your biological son you know sina roho mbaya.. go see your son Chapter 10🦋 Nikakaa ritho kutegea tu hio call ya Loise. Kisubmarine Laura alikua anapitia mbali Stesh asijue maneno yetu hajui Stesh ameshuku already 😂💔. Stesh naye hajui kuchagua house help inafaa unachagua nwenye amechapa kidogo bure atakutoka bwana😂💔. After breakfast nikachill pale kwa balcony. 11 am hapo Loise akacaall Loise : Hey I'm ready hebu kam tao ukidelay mimi narudi kwa hao Me : Relax nakaa mbali kisi Nikachomoka na dinga ya Stesh. Nikafika tao hadi place alikua anadai tumeet. Ilikua restaurant iko tu kwa public. Manze mtoi naye alikua photocopy yangu hapo kwa tabia kisubmarine ndo sijui💔😂. Loise : Hey Me : Hey..the boy is grown meehn Loise : Well, hakujuu Me : Whaat?..haukumshow anameet budake leo? Mtoi alikua amekaa tu hapo ananiangalia anashindwa huyu naye ni nani😂💔 Loise : Rowls i want to tell you something and don't get mad at me Rowlings : What is it momy Loise : This is Carl.. and Carl is your real dad Rowlings : 🙂‍↔️mum si ulisema Adams is my dad and i should call him daddy..na pia Adams alisema nikue namuita Daddy Loise : Yeah for respect baby but this is your dad ni vile alikua mbali alikua U.S na sikutaka ukue confused Me : Yeah so nilikua majuu but nimerudi Rowlings : What's majuu?😊 Me : Majuu ni abroad Rowlings : Ooh Loise : Yeah huyu ndo babako unaona vile mnafanana? Rowlings : Yeah so i should call you dad instead of Adams?..na mbona mum unaishi na Adams na sio huyu Mtoi akatupiga chenga kidogo😂💔. Loise aliniangalia akakosa jibu. Kisubmarine ikabidi nime-engage medulla Me : Okay son.. Adam is taking care of you that's why unakaa na yeye.. he's like a guardian but I'm your real father Loise : Rowlings do you like Carl? Rowlings : Yeah so much.. Loise akaniita kando kamkutano Loise : Aki Carl Rowlings ataniuza kwa Adams unajua staki Adams ajue uko around but the kid will tell him..na sasa hata mtoi ako confused atajua ni wewe ama Adams.. Carl this is the reason i was against this aki😔💔 Me : He needs to know his real dad Loise na by the way don't regret for doing the right thing Loise : For these ten years nimekua nikitoa ball za Adams Me : All..why?.. you can die na watoi watabaki na nani?..mbona hutaki kumzalia? Loise : Staki tu kuongeza watoi wengine hawa watatu wamenitosha i just want to live a free life💔 Me : Nakuget..but are you sure Loise you'll take good care of my kid? Loise : Sasa hio ni swali gani..hii miaka yote kwani amekua anakula mawe hauoni vile ako healthy? TO BE CONTINUED 🔥

Comments