
CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
May 31, 2025 at 08:39 AM
🔥 SECRETS 🔥
Season 6
EPISODE 3&4❤️
Nilikua nimebuy machine mbili za kuhesabu pesa pale kwa hao. Cash work ilikua mob manze kuhesabu hizi doo nikaona siwezi fanya solo na siwezi taka soldier anisaidie ju atashindwa nimetoa wapi that amount. But ikabidi nifanye solo ju manze hii biashara yetu haitaki watu wengi😂. Nilikua na supermarkets mbili za kuclean hio doo nisiulizwe nimetoa wapi hizo doo zote. Pia nilikua nimeinvest kwa different firms mostly za real estate na stock market. Nilikua na apartments kathaa pia so end month nikifika bank na kibunda wanajua mkubwa amefika naserviwa mbio mbio. Nikiwa nahesabu doo pale phone ikaring. Kuna this manager ni dem wa one of my supermarkets na amekua ananisumbua sana😂💔.
Me : Vera nilikushow no calls past 10
Vera : I'm sorry boss i just called to wish you a goodnight
Me : Okay goodnight
Vera : Boss..i..i...
Me : I..i.. imefanya nini😂
Vera : I was asking if maybe on Sunday naweza leta reports za hii wiki?
Me : Reports si hua unanitumia kwa email?
Vera : My Gmail account iko na issues so this week nimefanya tu paperwork
Me : Investors need those reports soft copies sio makaratasi
Vera : Nitaleta then nitacompute later on
Me : Okay I'll let you know kama nitakua free
Nikapanga hizo doo kwa bands nikapeleka safe room. Kwa hii safe room niko na vault mi huficha hizi doo. Nikaweka password nikaweka doo. Jamaa aliunda hii vault hata hakujua anaunda nini ju angejua sahi ningekua sina shingo na pesa zinakuliwa kwingine😂💔. This time round nilisema siwezi invest doo kwa clubs ju pubs huleta story mob unaweza julikana. Nikadoz. The following morning nikaamka nikafika gym then nikarudi. Phone ikaring kuangalia ni new number
Me : Hello who's this
"Hey Carl I'm Anthony from Maritime Bank"
Me : Ooh long time
Anthony : Yeah so the bank was asking kama uko willing kujoin our sacco ya savings and investments since you are one of our biggest customers and an investor "
Me : I'll think about it.. sipendi saccos sana hukua na story mob
Anthony : Yetu ni nzuri sana haina dramas
EPISODE 4❤️
Me : I'll think about it
Anthony : Okay have a nice day Carl
Hawa wameona mkuu anadeposit pesa kama uchafu wanataka kuniosha😂💔. Nikapika breakfast pale nikadishi. Usiulize mbona sina house help😂💔. Mnataka akuje wapi aone nikihesabu 40M aniseti😂💔. Phone ikaring kuangalia ni Stesh
Me : Heey
Stesh : Your daughter needs to register for a school function na wanataka photocopy ya I'd ya babake
Me : Ooh
Stesh : Na signature.. just send your I'd photocopy via WhatsApp na signature
Me : Whaat?..so niandike signature niscan nitume?..cheki Stesh we can't live like this
Stesh : This is what you wanted Carl
Me : I have not seen my daughter for two years now
Stesh : Blame your thug life na umalaya.. Carl i dedicated my whole life kwako yani i wish i knew..ukaniharibia kazi na maisha😭💔..ulaaniwe kabisa.. whatever you are doing siku yako itafika
Me : Sasa ukisema hivo na my kid still needs to see her dad akiwa uhai?
Stesh : I regret knowing you..wewe scan hizo documents unitumie Whatsapp kesho
Me : No..nataka kuzileta
Stesh : Kwa kina nani?.. my dad hates you na my mum hataki kukuona kabisa💔
Me : Stesh..nikikaa hivi mi hufeel tu there's something missing in my life.. you and my daughter..come back home baby
Stesh : You are a monster siwezi risk maisha yangu kwa mtu kama wewe💔..
Me : Give me a second chance baby I'm a reformed man💔
Stesh : Hehee😂💔..mb°wa wewe
Akakata call. Enyewe i was missing her manze. For two years Hatujaongea. Nilikua nacall anakata. Messages hawezi reply💔. Nikaendelea kufanya stuffs zangu. Shown akacall 📱
TO BE CONTINUED 🦋
Wadau mimi naomba Vitu mbili pekee🥲😁
1. Reactions🔥
2. Mnunue data kwa JOSEEPS DATA HUB⚡✅