
CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
May 31, 2025 at 08:39 AM
❤️ SECRETS ❤️
Season 6
EPISODE 7&8❤️
Nilikua napata hard time sana but nikasema I'll figure things out. Kila mse wangu nilikua nimemshikia second hand cars za kufanya job. My second phone ya kazi ikaring
Me : Yes
"Am i talking to Ras"
Me : Yeah
"We have a government minister ako na some cargos zinatoka coast na zinafaa nifike huku tao safe and sound..how can you help us with that"
Me : Cargo gani
"I was told not to reveal lakini ni illegal stuffs and I was told you know how to deal with this"
Me : When is that
"Kesho usiku"
Me : Who send you
"Mint"
Nikiuliza mse who send you anishow jina different hua najua ni DCI ama spy but ukisema Mint najua baas😂. Mint alikua tu a guy in theory, in real life haexist😂💔. There was no one like Mint. Kuna vile hii illegal market ilikua connected so some terms zimeekwa kuchanganya mafala.
Me : What's your budget
"130k"
Me : Make it 170k
"150k"
Tukamalizana na huyo mse akanijenga info but sasa hawezi tuma doo. No mobile transaction ama bank. Slim ndo atachukua hizo doo lakini wasee watapiga shuguli ni Latif, Vincent na some underground drivers wachotewe za macho. Nikacall slim nikamchapia akae ready. But sasa wakiishia huko slim ataenda kivyake..atafata Latif na Vincent na hao madere lakini hao hawatajua slim ako nao ju hawajai muona na haifai wamuone. Slim atakuja na hizo doo awache mahali after kutoa share yao then Shown ata orgazine vile zinanifikia. Najua family zao zote so hata mse ahepe na doo anajua family yake inaisha💔.
EPISODE 8❤️
The following day nikaamka nikacall Tresh
Me : Heey morning
Tresh : Morning Carl
Me : Nipee location
Siwezi taka ajue kwangu 😂💔. Akatuma location nikatoka hadi place anakaa. Kufika napata anakaa place inakaa congested sijui ilikua slums ama nini😂💔
Tresh : Whaat Carl si unaglow hadi umenona si uniibie siri😂🤭
Me : Ni God manze😂💔
Tresh : Waah aki si umechange
Me : Inafaa..soo let's move
Tresh : Wait..so mimi nikifika huko nitasema nini😂💔
Me : Incase mambo iharibike just be on my side unitetee.. unajua at least nikiishia na wewe siwezi kaziwa sana..i want her back..i want her home
Tresh : Mmh..but what if?
Me : What if?
Tresh : What if you start your own life Carl..why are you going back?.. Stesh sahi niko sure alimove on kwa mse mwingine
Me : Ningejua..bado ako kwao
Tresh : Carl..we have been through a lot mimi na wewe..we can start out together Carl
Alaa huyuu alikua mavitu ama. Nikikumbuka mambo alikua anafanya Steve na budake nachoka na maisha😂💔
Me : What do you mean
Tresh : Save me Carl..nitoe kwa hii maisha ya umaskini😥
Me : Job nitakusakia
Nilikua najua kitu anataka but nilikua nahepa hio mtego😂💔. Siwezi date Tresh hapo ingesumbua kisubmarine 😂. Tukaingia kwa dinga tukatoka. Alikua ananijenga mastory tu tukiishia but sikutaka kuopen up ati nimshow nafanyaga nini. Tukafika kwa gate ya kina Stesh. Ilikua 4pm
Soldier : Aah mkubwa miaka mingi
Me : Uko aje bana
Soldier : Siko mbaya sana lakini kachai kataniskumia siku😂💔
TO BE CONTINUED🔥
Design najituma mtaacha kunipea support kweli🥲
1. Reactions🔥
2. Nunueni data through JOSEEPS DATA HUB 💯alafu mchanue mabeshte pia🫶🏾