
CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
May 31, 2025 at 08:39 AM
🔥SECRETS🔥
Season 6
EPISODE 9&10❤️
Nikajenga soldier punch tukaingia. Kulikua kumenyamaza manze dinga ya Stesh ilichapa hadi haina tires ni reams tu zimebaki imeskumwa huko kwa kona imebend hata haina windscreen💔. Toys zilikua hapo nje nikajua ni za Hazel
Tresh : I have a bad feeling about this
Me : Hope..have hope..not a big hope but just some small hope..hio ndo hukeep wasee moving yooh
Tukatoka kwa dinga. Kisubmarine roho ilikua inatembea kwa mwili mbio kama ile nyoka ya shaba yenye iliuma watu wakachizi pale kwa bible😂💔. Hata before ni knock Mama Stesh akafungua
Mama Stesh : Unataka nini hapa.. you shouldn't be here😳💔
Me : Hello mum..i know but I'm here to solve things with my wife hata nilikua nimemshow kwa simu
Mama Stesh : Rudia tena ati your wife?😳..kijana did you come here to disgrace my home?
Me : Sio hivo mum
Tresh : Heey Carl shhh🤫..mum I'm Tresh, mimi na Stesh we are great friends and i just need you to come down tukae chini tuongee kindly mum
Hazel akatoka kwa hao
Hazel : Woo that's my daddy😭..daddy i missed you..niliambia mum nakutaka akanipiga😭
Me : Heey baby come to daddy.. don't cry
Tukaingia kwa hao tukakaa. Mama Stesh akatuwachanisha hapo manze nilikaa hapo na Tresh na Hazel hadi 6pm
Me : Mum ako wapi baby
Hazel : Alienda kununulia shosh dawa after lunch na hajarudi🤗🙂↔️
Me : Ooh sawa let's wait for her
Tresh : Hey baby..mimi ni aunty Tresh🤗
Hazel : Daddy ni ukweli?
Me : Yeah yeye ni aunty
Kiasi hivi mlango ikapigishwa💔😳. Blake akaingia ako maji manze akaanguka huko kwa meza. Hazel akaanza kucheka💔
EPISODE 10❤️
Hazel : Uncle pia leo umelewa😂💔..dad anko hukuja akiwa mlevi anakojoa kwa kitanda
Me : Beb it's bad manners to laugh at your uncle akiwa hivi..
Hazel : I'm sorry dad🙄
Blake akajivuta akapanda stairs akapotea. Jamaa alikua maji hadi hawezi ona penye anaenda. Wacha sasa kisubmarine Stesh aingie
Stesh : Whaaat on earth is this😳😳😥.. hazel toka karibu na huyo mtu..stay away from my kid wewe mwanaume
Me : Heey usiongee hivo mbele ya mtoi💔
Mama Stesh akakuja akachukua hazel akatoka na yeye💔.
Stesh : Who called you here😥..na wewe unatafuta nini hapa after what you did?
Tresh : Sina ubaya na wewe Stesh mimi i..
Me : I'm the one who came with her
Stesh akaishia akafungua main door
Stesh : Get out..tokeni kabisa
Mama Stesh : Your dad is on his way coming wacha apate huyu mkora wako hapa ndo utajua babako kichwa iliruka
Stesh : I don't want my dad to find you here..get out 😭
Giza ilikua imeshika kuangalia time ni 8:30pm. Tresh alikua ameogopa vibaya sana
Me : I want to talk to him..nitamngoja kwa gari
Tukakaa hapo nje na Tresh. Dinga ya mzee ikaingia. Jamaa aliniona hivi uso ikachange ungethani amekula mafi💔
Baba Stesh : Huyu ni nani kwa boma yangu...kijanaa😳..unataka niite polisi sindio?..what did i tell Stesh about you?..toka nje potea kabisa ama niweke hii gari yako moto sahi..what you did to my daughter was nonsense
Me : I'm really sorry that happened and i just want us to talk about it
Tresh akanishika mkono akanipeleka kando ya dinga
Me : What are you doing😳
Tresh : Kaa hapa..hauoni unawapandisha hasira😏
Tresh akatoka akaingia kwa hao. Alikaa huko for like ten minutes then akakuja
Tresh : Come in
Me : Ooh🤔
Nikaingia kwa hao. Blake alikua huko juu anaimba na ulevi akicheka solo😂💔. Mama Stesh, Stesh na budake walikua wamekaa pale. Food ikaletwa nikasema siwezi dishi. Tresh alivamia hio food design flani illegal kisubmarine nikajua huyu ni njaa ilimleta
TO BE CONTINUED 🔥
Design najituma mtaacha kunipea support kweli🥲
1. Wekeni Reactions🔥
2. Nunueni data through JOSEEPS DATA HUB 💯alafu mchanue mabeshte pia🫶🏾
𝗞𝗮𝗺𝗮 𝘂𝗻𝗮𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗥𝗼𝘂𝘁𝗲𝗿 𝘆𝗮 𝗔𝗶𝗿𝘁𝗲𝗹, 𝗗𝗺 𝗻𝗶𝗸𝘂𝘂𝘇𝗶𝗲 𝗰𝗿𝗲𝗱𝗶𝘁 𝗻𝗮 𝗱𝗶𝘀𝗰𝗼𝘂𝗻𝘁 𝘂𝘁𝘂𝗺𝗶𝗲 𝗸𝘂𝗹𝗶𝗽𝗶𝗮 𝘀𝘂𝗯𝘀𝗰𝗿𝗶𝗽𝘁𝗶𝗼𝗻🔥
𝗗𝗺 0740617951