
CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
May 31, 2025 at 08:39 AM
❤️ SECRETS ❤️
Season 6
Episode 11&12🔥
Mama Stesh : We only allowed you in kwa saba ya huyu msichana Tresh..
Me : Thanks Tresh
Baba Stesh : Go straight to the point😡
Me : Beb i just came to say I'm really sorry about the stuffs that happened and i want you back home..hakuna marriage hukua perfect..
Baba Stesh : Wachia hapo..ile siku ulikua hapa tulielewana aje?
Me : Mzee naelewa lakini..
Baba blake : Mzee ni wewe
Mama Stesh : Wewe vile ulikua hapa ulikua unakaa mtu wa maana kumbe ni kiraka.. sleepi+ng with a househlp Infront of my granddaughter😡💔
Tresh : Carl what?🤔
Stesh : Mum stop😭.. don't mention it i feel like breaking down😭
Baba Stesh : Mkidanganyana mtoke na Stesh hio ni yenu lakini Hazel anabaki kwa mikono yangu
Me : No.. I'm going with my daughter
Baba Stesh akaamka akanijenga kibare kidogo haga ufunguke na sijabeba tissue💔
Tresh : Carl shidako iko wapi surely..mimi nakutetea then unaharibu
Me : I'm really sorry baba Stesh i didn't know what i was saying
Wangeniwachia tu dakika mbili nitoe huyu mzee maini💔
Mama Stesh : Mimi naona nikienda kulala sasa hii nayo hapana
Me : Mum wait..najua nilikosa vibaya sana and i don't deserve forgiveness lakini naomba msamaha kwako na kwa babake Stesh kwanza ju najua i really got out of morals
Tukiwa hapo Tresh akanitext
Tresh : Piga mogoti ndo waone uko serious wacha kukaa ni kama uko kwa matatu😏
Manze kisubmarine nikadunga magoti chini kama nyundo ya foreman
Me : Please..hear me out.. Stesh amenitoa mbali sana.. I can't survive without her..i promise beb it won't happen again😥
Stesh akaanza kulia. Babake alikua anameza nyama kumeza. Mzee akakata sembe akajaza kwa mdomo.
Mama Stesh : Mimi hii maneno yenu imenishinda.. Stesh talk to your dad ju mimi hii nayo imenilemea
Baba Stesh : I want to sleep sina time ya kuongea na majambazi💔
Me : Stesh baby😥.. please
Baba Stesh : Kama unajua wewe sio wa hapa haulali kwa hii nyumba so I'll ask you to leave.. Stesh your brother sold everything i gave him..nikampea capital akaanzisha kazi akalewa pesa zote zikaisha akauza hio duka..ameuza gari amekunywa na wezi zimeisha💔I wasted my money to pay his school fees abroad sahi amenipaka matope..unaona vile alifanyia gari yako?..ametoa spare parts zote za gari yako zimeishia kwa pombe na wewe pia umesahau maisha yako umepea jambazi ndo huyu amerudi na ukora ingine to finish you completely..Stesh go to your bedroom.. Veronica follow me to the bedroom huyo Blake afungiwe huko juu asitoke auze gari yangu kama nimelala..wengine mnaweza toka
Manze hatukua na otherwise ikabidi tutoke tuishie. Tukaingia kwa dinga
EPISODE 12❤️
Tresh : Hebu drive niende kwangu mimi nimechoka na hii mambo yako pia
Me : I'm not leaving without my kid
Tresh : Wewe sasa Carl mimi nitakuwacha hapa
Me : You are not going anywhere
Tukalala hapo kwa dinga. Nikashtuliwa na mse akigonga window. Kuangalia ni Stesh
Stesh : Come inside😥
Tulitoka mbio kidogo nitoke na steering😂💔. Tukafika kwa hao tukapata wamekaa
Mama Stesh : Talk😏
Stesh : Okay.. Carl so..
Baba Stesh : Utaongea ama utalia?..ni hivo unamuonyesha you are very smooth ndo anakukalia kwa kichwa..so after a broad agreement with my wife na Stesh amekubali kuridi
Me : Thank you so much 😥
Mama Stesh : You traumatized my daughter do you know that?..sasa anarudi lakini we have some changes
Stesh : Yeah.. I won't be sharing the same house with you.. you'll rent me a new house..utakua unakuja kuona mtoi wako
Baba Stesh : Strictly seeing your kid mambo ingine hapana..staki unitesee mtoto😡..mwanume wa akili gani huyu?😏..ukicheza tutafile a lawsuit for child support utatembea na vidole ukue kiwete😏
Tukabonga pale tuka agree. Nikapewa room nikadoz then Tresh akadoz na Stesh. Usiku nikiwa nimedoz mtu akaguza mlango💔. Stesh akaingia
Me : Beb
Stesh : Don't touch me.. Tresh told me to come
Me : You are welcome baby kuja kwa bed
Tukadoz. Chuma ikasema ni launch maneno😂🍆🍑
Stesh : Stop Carl don't.. huwezi nifkkk kwetu.. I'm only here to sleep that's all
Tukadoz akaamka 5 akatoka. Mkuu nikaamka 8pm pale nikapata wasee walisha amka hata ni breakfast house help anaseti. Blake akatoka kitchen na sembe flani hivi ya wanaume nikashindwa atamada solo😂💔
Blake : Aaah budaa😂💔..msee ulipotea kama mvua
Me : Mi ndo huyu man😂
Mama Stesh : Bangi isikutume kwa chakula yangu Blake..hio ugali unakula na mashetani?😳💔
Blake : Mum niko na hangover
Baba Stesh : Only rehabilitation will cement this nonsense 😡
After breakfast Stesh akapack mastuff zake na za mtoi tukapack kwa dinga wakaingia ndani sasa tutoke. Blake akaniita nyuma ya hao
Blake : Bro naona unaishia sasa
Me : Yeah yeah we'll talk
Blake : Si unisetie hata chwani nishike fegi bro elewa man
Me : We'll talk man
Blake : Usiniwache ivo bro mi ni shemeji mkuu
Nikamjenga thao tatu. Nikarudi kwa dinga. Tresh akaniita nje
Tresh : Carl huwezi toka hivo after all this
Me : Kwani rada tena
Tresh : Umepea maparo wake anything?
Me : Ooh nilikua nimesahau
TO BE CONTINUED 🔥
𝗪𝗔𝗗𝗔𝗨 𝗥𝗘𝗔𝗖𝗧🥲🤲
Mki react mnaona Channel ina grow haraka❤️🔥
Usiache bila ku react please🥲