
CAMPUS VIBES 🥵💦AND STORIES🌊
May 31, 2025 at 08:39 AM
❤️ SECRETS ❤️
Season 6
Episode 13🔥
Nilikua na cash mob kwa dinga. Nikatoa nikajenga mathake na budake wakabambika😂. Tukatoka. Nikiwa kwa dinga nikakumbuka kuna makosa imefanyika😂💔. Zile counting machine na some cash niliwacha kwa meza zitaleta shida😂💔. Stesh atajua huyu jangili kisubmarine bado ni mamuluki na anaweza kataa mambo tena. So tukafika. Nikashuka nikalock milango za dinga nikakimbia kwa hao nikaficha counting machine na hizo doo then nikawaleta kwa hao. Ilikua late almost 7pm
Me : Tresh let me show you to your bedroom..beb follow me
Tresh akaingia bedroom flani hapo na Hazel ju Hazel alikua anabambika na Tresh sijui ni story gani walikua wanapiga unajua watoi hawakosagi kitu ya kukushow😂. Tukaingia bedroo
Me : Welcome home baby😍
Stesh : Wait🙄.. Carl hii nyumba yotee..wewe hufanya kazi gani just be honest with me.. promise me uliwacha ukora😥
Me : I swear beb niliwacha na nikaingia kwa business na ikanikubali😍.. Sahi I'm one of the best business man in this city
Stesh : Thank you God😊..but nakaa hapa only one week unibuyie hao nitoke ju siwezi ishi na wewe kwanza Carl I'll give it sometimes nione kama ulichange
Me : Okay..na job?
Stesh : Mi hukaa tu home.. sometimes nafanya kwa kampuni ya mum, ya dad but niko tu😊
Me : I'll find you a job kwa kampuni poa
Tukatoka tukaprepare food pale. Slim akacall 📱. Sikutaka kutoka nje Stesh angeshuku so nikarecrive
Me : Hey man
Slim : Bro we are almost there..coast
Me : Poa wewe fanya vile hua tunafanya and update me
Tukachill pale tukadishy dinner🌮🫕. Tresh alikua anasorora hao then ananiangalia💔.
Hazel : Mimi nitalala na Aunty Tresh
Stesh : Okay baby
Tukamada kudishi Stesh akaishia bedroom nikatoka nizime lights nifunge nipande upstairs
Tresh : I have a bad feeling sijui mbona
Me : Aii why
Tresh : Carl how did you get this life?..hii nyumba yotee?..two luxurious cars?.. Carl be honest with me isikue ni vile nafikiria
Me : Relax .. maisha hubadilika imagine..i told you about having a small hope..sio kubwa..kidogo tu😂
Mkuu nikafika bedroom. Stesh ni kama alikua kutu ju ile design alipanda kwa chuma ungethani ni driver wa lorry😂💔🍆🍑. Nilicheza na mali pale central akaitana🍑🍆.
The following morning tukaamka
TO BE CONTINUED 🔥