
NURU YA UPENDO
June 18, 2025 at 03:56 PM
*MAOMBI YA USIKU.* JUMATANO[18.06.2025].
JINA LA BWANA WETU YESU KRISTO LIBARIKIWE SANA.
✓ *VIPENGELE VYA MAOMBI YA LEO JUMATANO.TUNAOMBA* MAOMBI YA KUOMBEA WANAWAKE👇👇.
>MSHUKURU MUNGU.
>OMBA TOBA NA REHEMA.
>OMBA UTAKASO .
□Omba Roho ya kuwajibika kwa wanawake, Bwana aiamshe kwako na katika kanisa (kupenda kushughulika Mithali 31:10.
□Omba Bwana awajalie wanawake wote Wajawazito kujifungua salama.(Kutoka 1:15-17, Isaya 66:9).
□Omba Neema Ya Wokovu Kwa wanawake ili Wapate kumjua Mungu wa kweli.
》Vunja na kuharibu 👇
■Roho ya uchungu usiokoma moyoni, vinyongo, visasa, kutokuachilia, kutokusamehe, iyeyuke ndani ya Kanisa.
●Roho ya udhuru isisimame ndani ya kundi la wanawake kanisani. – (Matendo 1:14)
●Roho za Wachawi, Madhahabu za ukoo, Magonjwa sugu juu ya Wanawake kemea kwa Jina la Yesu na Magonjwa ya Kurithi yasipate nafasi Tena.
N.B : Vipengele vya Maombi vitatumwa Kesho.
✍🏽 *NA IKIWA UNAHITAJI LAKO LA KUSHIRIKISHANA, MAOMBEZI, KUOKOKA, UKIONA AMANI TUMA. *_[Wagalatia 6:2]_* *Mchukuliane mizigo na kuitimiza hivyo sheria ya Kristo.*
*_[Wakolosai 3:15 ]_* **Na amani ya Kristo iamue ndani yenu,ndiyo mliyo itiwa katika mwili mmoja* .
0793006146 .
🙏
👍
👏
😣
🦁
18