NURU YA UPENDO
NURU YA UPENDO
June 19, 2025 at 03:48 PM
*MAOMBI YA USIKU.* ALHAMISI[19.06.2025]. JINA LA BWANA WETU YESU KRISTO LIBARIKIWE SANA. ✓ *VIPENGELE VYA MAOMBI YA LEO ALHAMISI.TUNAOMBA* MAOMBI YA KUOMBEA WANAUME👇👇. >MSHUKURU MUNGU. >OMBA TOBA NA REHEMA. >OMBA UTAKASO . □Omba Mungu Wanaume Wawapende Wake zao[ nina Maana Mke mmoja wa Ndoa ] kama Miili Yao Wenyewe. Waefeso 5:23,28. □Omba Mungu Wanaume Watulie Na Ndoa Zao . □Omba Mungu Wanaume Wawe Vichwa Katika Familia .Maana Mwanaume ni Kichwa cha Kristo.Waefeso 5:23,1Kor 11:3. □Omba Wanaume Watunze Familia Zao.1 Timotheo 5:8. □Omba Neema Ya Wokovu Kwa Wanaume Ili Wamjue Mungu wa Kweli. □MUNGU ATUSAIDIE WANAUME WENGI WAMETEKWA KATIKA MALANGO YA MAGEREZA YA KISHETANI KWA SABABU YA ULEVI .....OMBA ROHO YA ULEVI ILIYOSHIKILIA KILA FAMILIA PALIPO NA MWANAUME ITOWEKE KWA JINA LA YESU ...IKOR 16:9-10. 》VUNJA NA KUHARIBU👇 ●Roho Ya Kukata Tamaa katika Maisha kwa Wanaume kwa Jina la Yesu itoweke na Roho Ya Kurudi Nyuma Kiroho itoweke kwa Jina la Yesu. ●Ondoa Vikwazo, Vizuizi Vya Maendeleo Kwa Wanaume Kwa Jina La Yesu. ●Roho za Wachawi, Madhahabu za ukoo, Magonjwa sugu juu ya Wanaume kemea kwa Jina la Yesu na Magonjwa ya Kurithi yasipate nafasi Tena. N.B : Vipengele vya Maombi vitatumwa Kesho. ✍🏽 *NA IKIWA UNAHITAJI LAKO LA KUSHIRIKISHANA, MAOMBEZI, KUOKOKA, UKIONA AMANI TUMA. *_[Wagalatia 6:2]_* *Mchukuliane mizigo na kuitimiza hivyo sheria ya Kristo.* *_[Wakolosai 3:15 ]_* **Na amani ya Kristo iamue ndani yenu,ndiyo mliyo itiwa katika mwili mmoja* . 0793006146 .
🙏 3

Comments