NURU YA UPENDO
NURU YA UPENDO
June 20, 2025 at 03:22 PM
*MAOMBI YA USIKU.* IJUMAA[20.06.2025]. JINA LA BWANA WETU YESU KRISTO LIBARIKIWE SANA. ✓ *VIPENGELE VYA MAOMBI YA LEO IJUMAA.TUNAOMBA* MAOMBI YA SHUKRANI KWA MAKUNDI YAFUATAYO👇👇Mstari Wa Kusimamia katika Kumshukuru Mungu [Zaburi 118:1, 21]. >MSHUKURU MUNGU KWA UZIMA ,NEEMA YA WOKOVU, ULINZI, KWA KUKUJIBU MAOMBI YAKO ,.KADIRI ROHO MTAKATIFU ATAKAVYOKUONGOZA. 1.Mshukuru Mungu Kwa Wagonjwa Wote waliopo Hospitali na sehemu Nyingine kwa kuwapa roho ya faraja na Nguvu na kuwaponya . 2.Mshukuru Mungu Kwa Vijana wote Kadiri Roho Mtakatifu atakavyokuongoza. 3.Mshukuru Mungu kwa Wanawake Wote Kwa Uzima.,Ulinzi, Neema Ya Wokovu , Kwa Uzao Kadiri Roho Mtakatifu atakavyokuongoza. 4.Mshukuru Mungu kwa Wanaume Wote kwa Uzima.,Ulinzi .,Kadiri Roho Mtakatifu atakavyokuongoza. *N.b* . Vipengele Vya Maombi Vitatumwa Jumatatu 23.06.2025 Wiki Hiyo yatakuwa maombi ya kuvunja na kuharibu Kila kilichoshikilia Maisha Yetu ..Yamkini Ngome za wachawi. , Madhahabu za Ukoo, Roho za Mizimu, Matamko, Laana , Maagano , Magonjwa , roho Ya kukataliwa, kudharauliwa ,kukosa heshima.kadiri Roho Wangu Atakavyotoa Muongozo. MUNGU AKUBARIKI.
🙏 ❤️ 🇹🇿 📘 😭 19

Comments