
JamiiCheck
May 22, 2025 at 04:38 AM
Ipo Taarifa inayosambazwa Facebook ikidaiwa kuchapishwa na Millard Ayo ikisema 'Sugu kujiunga rasmi CHAUMMA'
Ufuatiliaji wa JamiiCheck kwa kutumia maneno muhimu umebaini kuwa Taarifa hiyo haikuchapishwa na Millard Ayo kwenye kurasa zake rasmi za Mitandao ya Kijamii.
Kumbuka wapotoshaji huweza kutengeneza chapisho wakitumia utambulisho wa chanzo fulani ili Kupotosha. Hakikisha Unathibitisha kabla ya kusambaza.
Soma https://jamii.app/SuguKuhamiaChaumma

👍
2