
JamiiCheck
May 22, 2025 at 11:54 AM
Kumbuka si kila Taarifa unayokutana nayo mtandaoni ni ya Kweli. Thibitisha kabla ya kuiamini na kuisambaza, kwani utaiweka jamii kuwa salama dhidi ya Taarifa Potofu.
Unaweza kuwasilisha Taarifa inayokupa mashaka katika jukwaa la JamiiCheck.com ili kupata msaada wa Uhakiki.
Soma https://jamii.app/ZuiaTaarifaPotofu
