JamiiCheck

JamiiCheck

79.6K subscribers

Verified Channel
JamiiCheck
JamiiCheck
May 22, 2025 at 04:48 PM
JamiiCheck imefuatilia Uhalisia wa Picha za Boniface Mwangi zilizosambazwa Mtandaoni zikimuonesha akiwa na majeraha zikidaiwa kuwa ni za tukio la Mei 22, 2025 na kubaini kuwa ni Upotoshaji. Kwa kutumia nyenzo ya Kimtandao ya TinEye, JamiiCheck imejiridhisha kuwa picha hizo zilichapishwa na Mwangi Aprili 21, 2025 katika mtandao wake wa X akielezea tukio la kushambuliwa kwake na aliowataja kuwa ni Polisi wa Nairobi. Soma https://jamii.app/MwangiKujeruhiwa
Image from JamiiCheck: JamiiCheck imefuatilia Uhalisia wa Picha za Boniface Mwangi zilizosamb...
👍 😢 😮 4

Comments