JamiiCheck
                                
                                    
                                        
                                    
                                
                            
                            
                    
                                
                                
                                May 23, 2025 at 03:52 PM
                               
                            
                        
                            Mapambano dhidi ya Upotoshaji yanatuhitaji kutafuta na kuuweka wazi Uhalisia ili kuepuka Taarifa zisizo za Kweli katika Jamii.
Maamuzi Sahihi huchochewa na Taarifa Sahihi. Wasambazie jamaa na marafiki ujumbe huu ili wainuke kupambana dhidi ya Taarifa Potofu.
Soma https://jamii.app/PotoshiMaamuziMabovu
                        
                    
                    
                    
                        
                        
                                    
                                        
                                            👍
                                        
                                    
                                    
                                        1