JamiiCheck

JamiiCheck

79.6K subscribers

Verified Channel
JamiiCheck
JamiiCheck
May 25, 2025 at 12:32 PM
Kwa utafutaji wa kutumia maneno muhimu na marejeo ya video ya mkutano wa Askofu Gwajima Mei 24, 2025, JamiiCheck imejiridhisha kuwa Taarifa inayosambazwa kuwa Gwajima aliwatuhumu vijana wa CHADEMA kuhusika na shambulio dhidi ya Padri Charles Kitima Si ya Kweli. Aidha, Chapisho lililotumika kusambaza Taarifa hiyo ni la kughushi na halijatolewa na Jambo TV. Gwajima hakuwatuhumu vijana wa CHADEMA, bali alitoa wito wa kukomesha vitendo vya utekaji, akilitaja tukio la Padri Kitima kama mfano wa matukio yanayopaswa kushughulikiwa. Soma https://jamii.app/GwajimaTukioKitima
Image from JamiiCheck: Kwa utafutaji wa kutumia maneno muhimu na marejeo ya video ya mkutano ...
😂 1

Comments