JamiiCheck

JamiiCheck

79.6K subscribers

Verified Channel
JamiiCheck
JamiiCheck
May 26, 2025 at 02:06 PM
Kupitia utafutaji wa maneno muhimu na marejeo ya video ya hotuba ya John Heche ya Mei 23, 2025, JamiiCheck imebaini na kujiridhisha kuwa Taarifa inayodai CHADEMA wameandika barua kwa Tume Huru ya Uchaguzi kuomba mazungumzo Si ya Kweli. Chapisho lililosambazwa pia Si la Kweli kwani halikutolewa na The Chanzo bali limetengenezwa na wapotoshaji. Katika kikao hicho cha Kamati Kuu ya CHADEMA, Heche alisisitiza msimamo wa "No reforms, No election" akitaja dosari za uchaguzi zinazohitaji ufumbuzi. Soma https://jamii.app/HecheMazungumzoNaTume
Image from JamiiCheck: Kupitia utafutaji wa maneno muhimu na marejeo ya video ya hotuba ya Jo...
👍 2

Comments