JamiiCheck
June 1, 2025 at 07:58 AM
Maji ya madafu hayasababishi kutokea kwa Mabusha (Hydrocele) kama ambavyo Jamii za watu wengi huamini.
Kwa Tanzania, kung'atwa na Mbu anayeeneza vimelea vya Minyoo wa Filaria kunaelezwa kuwa sababu kuu mojawapo inayopelekea kuwepo kwa tatizo la Mabusha hususan maeneo ya Pwani na mwambao wa Bahari ya Hindi.
Sababu nyingine zinazoweza kusababisha kutokea kwa tatizo hili ni Uwepo wa kitendo chochote kinachochochea tando zinazozunguka Korodani kuzalisha maji kwa wingi kuliko kawaida pamoja na Kupungua kwa ufyonzaji wa maji yanayozunguka Korodani
Soma https://jamii.app/MajiYaMadafu
😂
👍
😀
4