JamiiCheck

JamiiCheck

79.6K subscribers

Verified Channel
JamiiCheck
JamiiCheck
June 6, 2025 at 03:57 PM
JamiiCheck Kupitia utafutaji wa maneno muhimu (KeyWord Search)  imejiridhisha kuwa nakala ya gazeti la Mwananchi, toleo la Juni 6, 2025 iliyochapishwa Facebook ikiwa na kichwa cha Habari 'Gwajima rasmi aomba msamaha' imepotoshwa kutoka kwenye nakala halisi ya gazeti hilo. Sehemu ya nakala ya gazeti hilo imehaririwa katika kichwa cha Habari chenye wino mzito iliyosena 'Sekeseke kanisa la Gwajima halijapoa' na kuwa 'Gwajima rasmi aomba msamaha' hivyo kupotosha Uhalisia. Soma https://jamii.app/GwajimaMsamaha
Image from JamiiCheck: JamiiCheck Kupitia utafutaji wa maneno muhimu (KeyWord Search)  imejir...
🙏 1

Comments