JamiiCheck
June 8, 2025 at 12:29 PM
Ujumbe wa John Heche unatukumbusha kuzuia kusambaa kwa Taarifa Potoshi kwa Kuthibitisha kila Taarifa tunayoipata ili kuiwezesha Jamii kuwa na Taarifa Sahihi zitakazowawezesha kufanya maamuzi Sahihi
Kumbuka JamiiCheck.com ni Jukwaa linalokuwezesha kupata msaada wa Uthibitishaji wa Taarifa. Wasilisha Taarifa inayokupa mashaka kupata Uhalisia.
👍
🙏
🤗
5