JamiiCheck

JamiiCheck

79.6K subscribers

Verified Channel
JamiiCheck
JamiiCheck
June 9, 2025 at 02:35 PM
Kupitia utafutaji wa maneno muhimu, JamiiCheck imejiridhisha kuwa Taarifa iliyochapishwa Facebook kuwa Maria Sarungi ameandika ujumbe kwenye mtandao wa X kuwa 'CHADEMA iko kwenye kipindi cha kupotea kabisa kisiasa' Si ya Kweli. Ufuatiliaji zaidi umebaini kuwa ujumbe huo haujachapishwa na Maria Sarungi bali umetengenezwa na wapotoshaji, huku chapisho lililotumika kusambaza ujumbe huo limeghushiwa kwani halikuchapishwa na Millard Ayo. Soma https://jamii.app/ChademaKupotea
Image from JamiiCheck: Kupitia utafutaji wa maneno muhimu, JamiiCheck imejiridhisha kuwa Taar...
👍 🚴‍♀️ 2

Comments