JamiiCheck
June 12, 2025 at 08:57 AM
Kupitia utafutaji wa maneno muhimu, JamiiCheck imejiridhisha kuwa andiko linalosambazwa mtandaoni kuwa 'Maria Sarungi aikubali Oktoba tunatiki' Si la Kweli.
Udadisi wa kina umebaini kuwa Maria hakuchapisha ujumbe ulioashiria kuunga mkono kampeni hiyo, bali ni chapisho lililotengenezwa na Wapotoshaji.
Vilevile Chapisho lililotumika kusambaza ujumbe huo ni la kughushi kwani halikuchapishwa na kurasa za The Chanzo.
Soma https://jamii.app/MariaSarungiOktoba
❤️
👍
2