JamiiCheck

JamiiCheck

79.6K subscribers

Verified Channel
JamiiCheck
JamiiCheck
June 12, 2025 at 12:23 PM
JamiiCheck imejiridhisha kuwa kipande cha video kinachomuonesha Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche akisema kuwa 'Operesheni ya No Reforms No Election ni ya kijinga', kimehaririwa na hivyo Kupotosha Uhalisia. Ufuatiliaji umebaini kuwa video hiyo imehaririwa kutoka kwenye hotuba aliyoitoa Mei 31, 2025 akiwa Same kwenye moja ya ziara zao za operesheni ya 'No Reforms No Election'. Soma https://jamii.app/HecheKuikejeliNoReforms
🙏 1

Comments