JamiiCheck

JamiiCheck

79.6K subscribers

Verified Channel
JamiiCheck
JamiiCheck
June 14, 2025 at 05:48 AM
Ufuatiliaji wa JamiiCheck umebaini kuwa Taarifa inayodai Joseph Mbilinyi "Sugu", Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, akilalamika kutengwa na Kamati Kuu ya chama si halisi. Utafutaji kwa njia ya mtandao na maneno muhimu umedhihirisha kuwa andiko hilo halikutoka katika ukurasa rasmi wa X wa Sugu bali ni la Kughushi. Soma https://jamii.app/SuguKutengwa
Image from JamiiCheck: Ufuatiliaji wa JamiiCheck umebaini kuwa Taarifa inayodai Joseph Mbilin...
👍 1

Comments