JamiiCheck

JamiiCheck

79.6K subscribers

Verified Channel
JamiiCheck
JamiiCheck
June 14, 2025 at 02:40 PM
Kupitia utafutaji wa maneno muhimu, #jamiicheck imejiridhisha kuwa taarifa kuwa Dkt. Rugemeleza Nshala amejiuzulu CHADEMA, kama inavyodaiwa kwenye kipeperushi cha Kishindo, Si ya Kweli. Ufuatiliaji zaidi umebaini hakuna chanzo chochote cha kuaminika kilichochapisha taarifa hiyo, wala hakuna uthibitisho wowote kutoka CHADEMA kuhusu kupokea barua ya kujiuzulu. Vilevile, dai kuwa alijiuzulu ili kuruhusu wakili Jebra Kambole kujiondoa kwenye shauri dhidi ya CHADEMA ni upotoshaji, kwani Kambole alieleza kujiondoa kwa sababu za ukiukwaji wa haki na utaratibu wa usikilizwaji. Soma https://jamii.app/DktShalaKujiuzulu
Image from JamiiCheck: Kupitia utafutaji wa maneno muhimu, <a class="text-blue-500 hover:unde...
❤️ 😮 2

Comments